Mwekezaji katika kazi zangu za utunzi wa vitabu

samson manoa

New Member
Aug 8, 2016
1
0
Ndugu watanzania, najisifia uwezo wangu uliomkubwa ktk utunzi wa vitabu.Janga ninalokutananalo ni kuishi Tanzania.

Wabongo wenzangu hamko vizuri ktk kuwekeza ktk vipaji.Kwa sasa namtafuta kwa udi na uvumba walau mbongo mmoja wa kudhamini kitabu changu.

Tayari,kitabu kiko ktk hatua za mauzo ktk internet,nilichoshindwa kabisa ni pesa za advertisement.Hii ni kusema,utafaidika kwa mamilioni uki-advertise ktk internet la hasha,kama hujafanya hilo hakuna atakayeiona kazi na kuinunua.

Naomba mdau walau mmoja mwenye utimamu wa akili abofye google kwa jina hili SAMSON JOSEPHAT MANYALA au kwa jina la kitabu SALOME THE BEAUTIFUL PRINCESS na utapata uhalisia.

Kitabu nimekitoa Feb 2015 ktk kampuni ya AMAZON YA MAREKANI.Namtaka mbia,na ni fedha kidogo sana japo mimi sina.
 
Back
Top Bottom