mweeee mweee

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Tufyaakwa....mbanuu

[video=facebook;118455107455]http://www.facebook.com/video/video.php?v=118455107455[/video]
 
we preta weweee.....hivi na hiyo ni adobephoto maker? sijawahi sikia au kuona hii kitu....
 
Hao simba wanatoa tiGo Simba wa zanzibar!!aende serengeti afanye hivyo kama hata nywere tutaziona!!
 
hakuna cha simba tigo wala voda fasta.....habari ndio hiyo......hawa jamaa ukijua tabia zao hawakushindi tatizo sisi huwa tunatanguliza woga mbele....
 
No No No siamini kama sio photoshop basi jamaa one day they will not play with they will eat him up.
 
hakuna cha simba tigo wala voda fasta.....habari ndio hiyo......hawa jamaa ukijua tabia zao hawakushindi tatizo sisi huwa tunatanguliza woga mbele....

Wewe mimi sijui anafikiria nini je akisikia mchango tumboni unahitaji nyama??Mbwa mwenyewe sipo naye karibu sembuse ijekuwa SIMBA ACHAMASIKHARA PRETA!
 
Hao simba ndiyo kabuli lake huyo, siku moja simba mmoja atakosea badala ya kucheza ataingiza mkono mdomoni au atadhani anamlamba tu kumbe anafanya kweli. Atakapo onja damu yake ndiyo itakuwa mwisho wake.
 
hakuna cha simba tigo wala voda fasta.....habari ndio hiyo......hawa jamaa ukijua tabia zao hawakushindi tatizo sisi huwa tunatanguliza woga mbele....

yuewiiii womi mimi sintathubutu.
 
Wewe mimi sijui anafikiria nini je akisikia mchango tumboni unahitaji nyama??Mbwa mwenyewe sipo naye karibu sembuse ijekuwa SIMBA ACHAMASIKHARA PRETA!

usiwe muoga hivyo bana......usijali...nitakufundisha how to tame them
 
Back
Top Bottom