Mwazo wamwisho wa gbagbo

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Source bbc news Dec 24 2010

Earlier, the region's central bank handed over control of Ivory Coast's accounts to Mr Ouattara.

Correspondents say the moves are increasing the isolation of Mr Gbagbo, who has insisted that he won the vote.

The decision of the Central Bank of West African States could make it difficult for the incumbent president to pay the army.

Sasa nampa huyu dikteta mwezi mmoja tu, pale pesa za kuwalipa wafanyakazi wa serikiri zitakapokauka.
 
Jamaa wa UN Wana ubaguzi mbona wamemvumili Jk. Na kuchakachua kote kule.

Tukubali ingawa kulikuwa na wizi wa hapa na pale, jk alishinda huu uchaguzi. Kibaya kwa bgabgo ni kwamba ECOWAS AU, na UN hawamkubali.Halafu upuuzi wake umewahuzi wengi, yaani unaalika UN wanaspend 400m dollars halafu upinzani ukishinda unakataa hii si tu kukosa shukrani bali ni kututia aibu waafrika, maana hii ni tabia ya kitoto kabisa.
 
Dah Gabgo sijui babgo ana wakati mgumu saana kama jina lake. He should pack his things and go kabla hajazingirwa na maadui zake.
 
Mi nitazidi kulia na Jk ,mugabe ,kibaki. ndio Wamejenga kamchezo haka sasa kila mtu anaiga.
 
Tukubali ingawa kulikuwa na wizi wa hapa na pale, jk alishinda huu uchaguzi. Kibaya kwa bgabgo ni kwamba ECOWAS AU, na UN hawamkubali.Halafu upuuzi wake umewahuzi wengi, yaani unaalika UN wanaspend 400m dollars halafu upinzani ukishinda unakataa hii si tu kukosa shukrani bali ni kututia aibu waafrika, maana hii ni tabia ya kitoto kabisa.
acha kudanganya wewe, JK alishinda wap? tuambiane tu the West wana interest zao haswa kwenye madini na hawako assured kama watapata upenyo kama uongozi mwingineo utaingia
 
Acheni ushabiki usiokuwa na vichwa wala miguu JK alishinda uchaguzi kweli japokuwa ni kwa asilimia ndogo tofauti na zilizotangazwa
 
waht is AU saying about this(Ivory coast) huwa siwaelewi hawa viongozi wa africa what a shame.
 
MBONA BONGO HAWAJATUSAIDIA wamwache gagbo aendelee,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwani shida iko wapi mbona sisi tupo poa tu hapa jf na kwingineko,,,,,,,,,,,wangeanza hapa hapa,,,kwetu ndio waende na huko,,,,,,,ubaguzi au ni haya makontena ya dhahabu/mchanga wanayochota mpaka yaishe ndio watusaidie,,,,,,,,,,,,,wizi mtupu,,,,,,,itakua ana msimamo mkali juu ya rasilimali
 
Hizi hatua zinazochukuliwa dhidi ya gbagbo ni za kutia moyo, na uenda zikamfanya Mugabe afikirie mara mbili kama alikuwa amepanga kuchakachua hata huu uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mapema mwaka ujao. Hata hivyo, ECOWAS inastahili pongezi kwa msimamo wake madhubuti. Kinyume na SADAC ambayo viongozi wake wana tabia ya kulindana hata pale panapo onekana pana dhuluma ya wazi, ECOWAS safari hii imeonyesha kuwa haina mchezo na mambo ya kipuuzi. Msimamo huo wa ECOWAS ndiyo umerahisisha mambo kwa AU na UN.
 
Nilisikia America nao wameonyesha nia ya kupeleka majeshi ya kumng'oa huyo dikteta.
Wakitoka Ivory coast wasisahau kuja na huku kwetu Tz.
 
Source bbc news Dec 24 2010

Earlier, the region's central bank handed over control of Ivory Coast's accounts to Mr Ouattara.

Correspondents say the moves are increasing the isolation of Mr Gbagbo, who has insisted that he won the vote.

The decision of the Central Bank of West African States could make it difficult for the incumbent president to pay the army.

Sasa nampa huyu dikteta mwezi mmoja tu, pale pesa za kuwalipa wafanyakazi wa serikiri zitakapokauka.

Mkuu do not be too optimistic on this, if mugabe survived for years until 2009, do not expect the highlighted in red to occur. Gbagbo knows the tricks and Bob is there to teach him how to survive
 
Hizi hatua zinazochukuliwa dhidi ya gbagbo ni za kutia moyo, na uenda zikamfanya Mugabe afikirie mara mbili kama alikuwa amepanga kuchakachua hata huu uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mapema mwaka ujao. Hata hivyo, ECOWAS inastahili pongezi kwa msimamo wake madhubuti. Kinyume na SADAC ambayo viongozi wake wana tabia ya kulindana hata pale panapo onekana pana dhuluma ya wazi, ECOWAS safari hii imeonyesha kuwa haina mchezo na mambo ya kipuuzi. Msimamo huo wa ECOWAS ndiyo umerahisisha mambo kwa AU na UN.

Siyo Mugabe tu Mkuu bali viongozi wengi wa Afrika ambao hupenda kung'ang'ania madarakani kwa kila hali hata ikibidi kuiba chaguzi kama ilivyotokea Kenya, Tanzania na nchi nyingi za Afrika. Yule M7 sasa hivi atakuwa tumbo joto maana naye ni mmoja wa ving'ang'anizi vya kubaki madarakani. Juzi juzi yule Mubarak wa Misri naye kachakachua matokeo.

Back
Top Bottom