Mwanzoni walikuwepo millenium tower, sasa wamehamia ubungo plaza

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Kuna hawa wajasilia mali wanaouza madawa ya kichina wanakera. Leo asubuhi nimetumiwa ujumbe kutoka kwa mtu nisiyemfahamu, anasema nimepewa namba yako na mtu furani (anamtaja kwa jina), cha kushangaza hata huyo aliyempa namba yangu naye simfahamu.

Akaandika kampuni yetu inataka kukuajiri utalipwa laki 4 kwa wiki. Utafanya kazi yako muda wa ziada. Kwa maelezo zaidi fika ofisi za kampuni yetu ipo ubungo plaza.

Nilimchukua na rafiki yangu kwenda hapo u-plaza. Kumbe ofisi yenyewe ni ukumbi wa mikutano pale plaza. Nilivyoingia ndani duh umejaza majanki wanasotea ajira.

Kufuatilia , kumbe ajira yenyewe ni kutwa miguu mitaani kama umefungwa pistoni kuuza sabuni, kolgate, na vicks za mafua mitaani, harafu wanataka uwe mwongeaji kama ulimi umefungwa mota.

Daah, haya makampuni yanatesa vijana wenzetu.
Nikasepa. Tena zile lifti pale plaza zina gia! Ni speed 100
 
Hiyo ndio bongo maisha plus kila siku sinema nyingine
 
Back
Top Bottom