MwanzaCity Umeme Haueleweki.

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Umeme hatujui ni wa mgao?maana mchana maeneo mengine hakuna,asubuhi unakatwa saa tatu unarudi,jioni unakatwa mida ya menu,yaani hata taarifa ya habari inakuwa mgogoro.Umeme yaani unadim kama taa za dimlight! Mzee wa megawat alituambia tutakuwa na umeme wa uhakika je,huu ndio umeme wa uhakika?
 
Serikali ya kisanii imesingizia mengi sana kuwa ndio chanzo cha kukosekana umeme. Sasa wamekosa la kusingizia wameamua kuendeleza mgao nchi nzima kimya kimya.
Huku Ngereja akisisitiza, ''Sijiuzulu ng'o!!''
.
 
Back
Top Bottom