Mwanza: Mwalimu adaiwa kuwa na mahusiano na Wanafunzi 3 huku akilala na wawili kwa wakati mmoja kitandani

Ni kweli, Mkuu wa Wilaya hana uwezo wa kuajiri wala kufukuza mfanyakazi yeyote.Lakini ni yeye mwenye jukumu la kuhakikisha kwamba mifumo ya utawala katika wilaya yake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi. Kupitia yeye Mkurugenzi wa wilaya (mwenye mmalaka kisheria ),Mwalimu angefukuzwa kazi.

Lakini yeye pia ni kiongozi ya Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya. kulinda ustawi wa watoto ni jukumu lake pia

Hawa ma DC wanacholinda zaidi ni vyama vya Upinzani visistawi kwenye wilaya yake.
 
Eti, anawafanyia mambo ya ajabu ... yiihi baghosha? Wanaume mbona lugha hizi hata wanawake hawazitumii?
 
Hapana hujaelewa. Huyu aliyemfukuza Wilayani Magu ni DC. Ni baada ya mtuhumiwa kuwa ameachiwa huru mahakamani. Kwa hiyo huyu aliyemfukuza wilayani Magu naye pia ni mhanga wa maumivu makali sana yaliytotokana na tukio hili, pengine sawa tu na yallivyo maumivu ya kwako wewe na wengine pia walioguswa na tukio hili. Na yawezekana pia yeye DC kaumia zaidi kuliko wewe kwa sababu yeye ni kiongzi.
Kwahiyo huyo DC anashindana na mahakama? Kwanini asikate rufaa, kuna jambo la binafsi linafukuta chini chini? Kumbe mamlaka hayo ya kufukuza mtu kwenye uso wa nchi anayoitawala kwa niaba ya rais, kayapata wapi? Huyo DC asaidiwe kazi!
 
Pale tuliporuhusu kada ya ualimu chuo akishamaliza tu ni ajira moja kwa moja, kumesababisha leo hii kuwe na vitu vya ajabu sana.
 
Mkuu wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Salum Kalii, ameagiza Mwalimu Martin Mambosasa, wa shule ya msingi Ilungu anayetuhumiwa kuwadhalilisha kingono na kuwafanyia michezo michafu wanafunzi hata wawili kwenye kitanda kimoja kwa muda wa miaka saba kuondolewa wilayani humo.

Agizo hilo amelitoa kwenye kongamano la kuweka mikakati ya kukabiliana na ongezeko la vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, mimba na ndoa za umri mdogo, utoro kwa wanafunzi ili kuongeza ufaulu na ndipo alipotoa maelekezo hayo.

"Kesi ambazo tulizibaini ikiwepo Mwalimu mmoja anayeitwa Mambosasa tulimkamata akiwa na mahusiano na wanafunzi zaidi ya watatu, na wakati mwingine alikuwa anawalaza kwenye kitanda kimoja wote wawili na kuwafanyia mambo ya ajabu sana, nimesema mimi simtaki kwenye wilaya yangu" amesema DC Kalii.


Muungwana
Tatizo sio kumkataa, hilo ni kosa LA jinai afunguliwe mashtaka na sio kujichukulia maamuzi.
 
Bro! ushahidi sio wa victims tu Kuna ule ushahidi wa kuingiliwa mtoto na daktari athibitishe mbegu ni za muhusuka kesi hizo zinakuaga ngumu haswa victims na wazazi wakishahongwa
Huna akili we nguchiro, kwenye hii ishu mwalimu kashikwa live anatafuna? Kama ameshikwa live ndio hayo unayosema yanahitajika. Hapa dk atathibitisha kama binti alishaingiliwa au la, sio kukuta manii.
 
Huna akili we nguchiro, kwenye hii ishu mwalimu kashikwa live anatafuna? Kama ameshikwa live ndio hayo unayosema yanahitajika. Hapa dk atathibitisha kama binti alishaingiliwa au la, sio kukuta manii.
nasema akutwe live anamuingilia au yupo nao gest sio mambo ya kusingiziana tu kama wamemkuta wangempeleka mahakamani bhasi akajibu tuhuma.
 
Huyo jamaa ( hafai kuitwa mwalimu) ni shetani kabisa. Nilitegemea angekuwa mahabusu au gerezani
 
Inasemekana Mwalim kashinda Mahakamani, ila Dc anaujua ukweli wazazi na watoto wamechezesha, kutokana na hasira za Dc ndo maana akasema atoke kwenye Wilaya yake.
 
Back
Top Bottom