Mwanza: Machinga wasema awamu ya tano hawakusumbuliwa kama sasa

Hawa ni wapuuzi na ni bora wavurushwe hapa mjini kwanini wanaponda mawe?
Mkuu, binadamu akiwa na hasira ni kawaida kufanya mambo ya ajabu. Alafu sometime ukute hao wanaoponda hata sio machinga,CCM ni kaole part two labda wametuma watu hapo warushe mawe
 
Halijakukuta jitu ww
Amekula anakula paye yake kila mwisho wa mwezi ama yupo kwa shemu so ame relax hajui Kuna Wana hawana connection wanapigana kwa jasho damu tope vumbi na mvua yao na wanyama wakali pia.

Ama hajachwki Hawa watt waliodandia gari from bukoba to mwanza kusaka maisha. Kuna mtu anaongea yaani unaona kabisa huyu analishwa ama akarithi Mali hajui jasho la kuzipata ama akasoma akamaliza Friday jumatatu job so hajui any ugumu binadamu wenzao wanaopitia
 
Amekula anakula paye yake kila mwisho wa mwezi ama yupo kwa shemu so ame relax hajui Kuna Wana hawana connection wanapigana kwa jasho damu tope vumbi na mvua yao na wanyama wakali pia. Ama hajachwki Hawa watt waliodandia gari from bukoba to mwanza kusaka maisha. Kuna mtu anaongea yaani unaona kabisa huyu analishwa ama akarithi Mali hajui jasho la kuzipata ama akasoma akamaliza Friday jumatatu job so hajui any ugumu binadamu wenzao wanaopitia
Kweli aelewi kitu na watu wa hivi mara nyingi ni ma kkb
 
Amekula anakula paye yake kila mwisho wa mwezi ama yupo kwa shemu so ame relax hajui Kuna Wana hawana connection wanapigana kwa jasho damu tope vumbi na mvua yao na wanyama wakali pia. Ama hajachwki Hawa watt waliodandia gari from bukoba to mwanza kusaka maisha. Kuna mtu anaongea yaani unaona kabisa huyu analishwa ama akarithi Mali hajui jasho la kuzipata ama akasoma akamaliza Friday jumatatu job so hajui any ugumu binadamu wenzao wanaopitia
Ebu acha kutetea upumbavu yaani ugumu wako wa maisha ukufanye uje kuponda duka langu mawe kwani mm ndo chanzo cha shida zako.

Kama wana hasira basi waende wakaziponde mawe ofisi za CCM maana ndo chanzo cha hayo maisha magumu waache upumbavu.

Samia akija kuendekaza hizi siasa za maji taka nchi hii itaingia kwenye matatizo makumbwa.
 
Sijakubalana na hao wanaoponda mawe kwenye maduka ya watu na wanastahili hata kuuliwa ili wajue kuwa nchi Ina ulinzi na amani.
Sema na wewe Ni Ile kauli yako kuwa washenzi na huku Ni mtu anatafuta ridhiki
 
Back
Top Bottom