Kuna ushahidi mzuri ambao wangekuwa wanapongezana walivyowapapua wavuja jasho huku wakiwa na vinywaj vya pale Iloganzala au kule Igoma, tena wakiwa Vilapack,Diamond au hata Malaika wangeenda! "Kwangu mie ni bora umuue asiyestahili kuliko kumwacha jambazi abaki na roho yake" haki za binadam n co povu ruksa!
Hizo sehemu ulizotaja ndiyo the best kwa starehe huko Mwanza?Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo nyingi sana, ni kwa uchache na utashi wangu tu mkuu.
Hizo sehemu ulizotaja ndiyo the best kwa starehe huko Mwanza?
Zingine kali kali ni kama wapi?
Dogo huelewi ulipaswa kusema kisiwani Ukerewe,mkoani Mwanza.Jiji LA Mwanza linaundwa na wilaya mbili,Nyamagana na Ilemela.Wakati mkoa wa Mwanza wilaya zake in Magu,Ilemela,Nyamagana,Misungwi,Ukerewe,Kwimba na Sengerema.Hopefully umenipata.
Visiwa vya saa8. Ukienda kati ya hivyo nivyovitaja hutakosa rafiki wa kukuelekeza vingine mkuu.Zingine kali kali ni kama wapi?
ngoja na naombea tena Mungu atanisikia sala hii, ndugu yako achapwe risasi hata kama siyo yeye kuliko jambazi kuliachaKuna ushahidi mzuri ambao wangekuwa wanapongezana walivyowapapua wavuja jasho huku wakiwa na vinywaj vya pale Iloganzala au kule Igoma, tena wakiwa Vilapack,Diamond au hata Malaika wangeenda! "Kwangu mie ni bora umuue asiyestahili kuliko kumwacha jambazi abaki na roho yake" haki za binadam n co povu ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Fupi kama ya mama yakokwa akili yako fupi watu wanajibizana risasi na polisi ulitaka wawachekee au watafute ushahidi gani kujiridhisha ni majambazi?
Kama walikuwa raia wema tungesikia malalamiko toka kwa ndugu zao na wananchi lakini ukiona hadi sasa kimya ujue ni ukweli.Siku mama yako akimwagwa utumbo kwa kuhofiwa ni jambazi utajua kwanini kuna umuhimu wa kuthibitisha ikiwa mshukiwa ni jambazi kweli au Lah.
Baba yake mzazi ambae ni jambazi akija kuchukua maisha yako anatenda yote hayo mbele ya wanao.Hadi watoto wameenda kuangalia. Imagine anamuona baba yake mpenzi hapo....utambuzi ungefanyikia hospital.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kumbe hujui kituww ni mpumbavu wa kiasi gani huelewi jambo dogo lisilohitaji degree?
HIVI KAMA WATU WAMEONYESHA REACTION YA KUJIBIZANA RISASI NA POLISI, ulitaka hadi wakutie risasi ndio useme kweli ni majambazi
Kwahiyo unamuathiri mtoto kisaikolojia kwa kosa la baba?? Two wrongs don't make a right!Baba yake mzazi ambae ni jambazi akija kuchukua maisha yako anatenda yote hayo mbele ya wanao.