Mwanza: Jeshi la polisi limeua Majambazi wanane usiku wa kuamkia leo 26.1.2019

togetherTight

Member
May 21, 2017
99
100
Watu nane wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa usiku wa kuamkia leo katika kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza kwenye majibizano ya risasi na Jeshi la polisi.

"Kikosi jasiri kimepambana ana kwa ana na majambazi yapatayo 10, katika mapambano hayo katika eneo la kwanza walifanikiwa kuua majambazi watano, waliwapekuwa na kuwakuta na silaa na mali walizopora," amesema Kamanda Mkoa wa Mwanza, Janathan Shana.

Ameendelea kwa kusema katika tukio lingine ambapo walipatiwa taarifa na dereva bodaboda walifanikiwa kuwaua majambazi watu na wawili walifanikiwa kukimbia.
IMG_20190126_122857_5.jpg
 
Habari zaidi zitawajia kutoka kwa msemaji wa jeshi la polisi mkoa wa Mwanza.
These days I just don't trust jeshi LA polisi that much anymore .. Wanaweza kusema wameua majambazi, in no time unasikia ndugu Wa marehemu wamegoma kuzika kutokana na kuonewa/kuuawa bila hatia kwa ndugu yao.. Let's hope no majambazi kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu nane wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa usiku wa kuamkia leo katika kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza kwenye majibizano ya risasi na Jeshi la polisi.

"Kikosi jasiri kimepambana ana kwa ana na majambazi yapatayo 10, katika mapambano hayo katika eneo la kwanza walifanikiwa kuua majambazi watano, waliwapekuwa na kuwakuta na silaa na mali walizopora," amesema Kamanda Mkoa wa Mwanza, Janathan Shana.

Ameendelea kwa kusema katika tukio lingine ambapo walipatiwa taarifa na dereva bodaboda walifanikiwa kuwaua majambazi watu na wawili walifanikiwa kukimbia.
Are they not ............
 
These days I just don't trust jeshi LA polisi that much anymore .. Wanaweza kusema wameua majambazi, in no time unasikia ndugu Wa marehemu wamegoma kuzika kutokana na kuonewa/kuuawa bila hatia kwa ndugu yao.. Let's hope no majambazi kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku mama yako akimwagwa utumbo na majambazi utaelewa maana ya jeshi la polisi na utajua umuhimu wao... hata raia wa kenya walikuwa wakiwadharau hivi lakini baada ya matukio fulani wameanza kuwaheshimu
 
Watu nane wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa usiku wa kuamkia leo katika kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza kwenye majibizano ya risasi na Jeshi la polisi.

"Kikosi jasiri kimepambana ana kwa ana na majambazi yapatayo 10, katika mapambano hayo katika eneo la kwanza walifanikiwa kuua majambazi watano, waliwapekuwa na kuwakuta na silaa na mali walizopora," amesema Kamanda Mkoa wa Mwanza, Janathan Shana.

Ameendelea kwa kusema katika tukio lingine ambapo walipatiwa taarifa na dereva bodaboda walifanikiwa kuwaua majambazi watu na wawili walifanikiwa kukimbia.View attachment 1005370
Mbona vijana wadogo!
 
Back
Top Bottom