Mwanyika: Sihusiki na kashfa ya Richmond

Kujiuzulu siyo mpaka uibe, hata utendaji wako ukiwa mbovu inabidi uachie ngazi. Na kama mwanasheria mkuu wa SK, katika hili swala la EPA unachemsha kila kukicha.

Sijiuzulu, sijaiba - Mwanyika
Mwandishi Wetu
Daily News; Thursday,March 13, 2008 @00:04

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, amepuuza wito wa kumtaka kujiuzulu wadhifa huo kutokana na kuhusishwa na kashfa ya kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Richmond, akisema “milele na milele ni mtu safi.”

“Kwa wale wanaonifahamu, mimi ni mtu safi tangu nilipoanza kazi serikalini Machi 10, 1973.

Nendeni mkawahoji watu niliofanya nao kazi,” Mwanyika aliwaambia wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari Dar es Salaam jana alipokuwa akizungumza kama Mwenyekiti wa Timu ya Rais ya Uchunguzi wa wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania.

Alisema kilichoelezwa na Kamati teule ya Bunge ya kuchunguza mkataba wa Richmond siyo tuhuma, ni mapendekezo, hivyo haoni sababu yoyote ya kujiuzulu.

“Sioni sababu yoyote ya kujiuzulu, sijaiba,” alisema Mwanyika na kuongeza kuwa waliojiuzulu kutokana na kashfa hiyo walifanya hivyo kwa sababu ya siasa ya sehemu zao walizokuwa wakiongoza. “Mimi ni mtaalamu kama vile walivyo mawakili, anapokosea kuna taratibu zake za kumwajibisha kitaalamu. Mimi binafsi ni mtu safi, milele na milele mimi ni mtu safi.”

Alisema kwamba Rais Jakaya Kikwete alipoteua timu ya uchunguzi wa EPA alitaja ofisi akiwa na maana ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Jeshi la Polisi na ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, hivyo “Mwanyika yupo au hayupo, kazi itaendelea kama kawaida.”

Tangu kutangazwa hadharani kwa ripoti ya Kamati teule ya Bunge kuhusu mkataba wa Richmond na kusababisha kujiuzulu kwa mawaziri watatu, baadhi ya wanasiasa na wanaharakati, wamemtaka Mwanyika ajiuzulu baada ya ofisi yake kuhusishwa na kashfa hiyo.

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Ibrahim Msabaha, walijiuzulu nyadhifa zao kutokana na kashfa hiyo na hivyo kusababisha kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri, mwanzoni mwa mwezi uliopita.

Mbali ya Mwanyika, pia umekuwapo mwito wa kutaka ajiuzulu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Edward Hosea, baada ya awali taasisi yake kudai hakukuwa na matatizo yoyote katika mkataba huo na Richmond ambayo ililetwa kuzalisha umeme wa dharura baada ya nchi kukumbwa na matatizo mwaka 2006.
 
ndio baba wakingie kifua hao ! wanafikiri wakitega bomu kila mtu atalipuka, well this time naona bomu lao limekuwa dud !

Ninayo demo ya Mbowe jamanii eeeehh !
 
ndio baba wakingie kifua hao ! wanafikiri wakitega bomu kila mtu atalipuka, well this time naona bomu lao limekuwa dud !

Ninayo demo ya Mbowe jamanii eeeehh !

Uzushi ndio huu..Kazi ya Mwanyika hata umpe Slaa, Mbowe or Zito ni ngumu..Wizi kwa kutumia Kampuni..tengeneza sheria mpya ladba..wakusanye wanachoweza..laws zetu ni british laws,a company is a legal person...Company zina-file chapter 11 or 13 zinakufa, kufilisika--haki ya kuchukua hela ya mtu hamna--mahakamani wanashida..tutapiga Tarumbeta wewe..

it doesnt matter Mwanyika haachii kazi na sisi kelele zetu ni just that: Kelele!!!
 
Tatizo ni kuwa ofisi yake iliachiaje mikataba mibovu kutiwa sahihi? This is not so much about Mwanyika as it is about responsibility and setting standards.

Inabidi awajibike.
 
Tatizo ni kuwa ofisi yake iliachiaje mikataba mibovu kutiwa sahihi? This is not so much about Mwanyika as it is about responsibility and setting standards.

Inabidi awajibike.

Swala la kuwajibika Mwanasheria mkuu ni swala tofauti na EPA..tusichanganye mambo..1 issue at a time..hii inakuwa kama witch-hunt..kwamba tunashauku ya watu kujiuzulu..Johnson Mwanyika wa the Deputy AG, AG since 2005..Andrew Chnge alikuwa Mwanasheria mkuu tika 1972, he was at the helm of many contract far more than Mwanyika..Chenge needs to go 1st..msaidizi hawezi kwenda kwanza..sasa hv analaumiwa tu, he can only do but so much hapa..
 
Uzushi ndio huu..Kazi ya Mwanyika hata umpe Slaa, Mbowe or Zito ni ngumu..Wizi kwa kutumia Kampuni..tengeneza sheria mpya ladba..wakusanye wanachoweza..laws zetu ni british laws,a company is a legal person...Company zina-file chapter 11 or 13 zinakufa, kufilisika--haki ya kuchukua hela ya mtu hamna--mahakamani wanashida..tutapiga Tarumbeta wewe..

it doesnt matter Mwanyika haachii kazi na sisi kelele zetu ni just that: Kelele!!!

wewe kwanza jina lako lenyewe linanipa mashaka !
 
wheres the beef nipe hoja..unatishiwa na Ngurudoto..hatuwezi wote kuitwa Kadampinzani, hii sio timu ya mchezo..its real life & real issues za nchi, ebo!!

YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!YES WE CAN !!YES WE CAN !!
YES WE CAN !!YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CANYES WE CAN !! !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !!

Sasa subiri obama akusikie unasema "we cant" !!
 
YES WE WILL
 
YES WE WILL

how can you say "yes we will" if there is no possibility of doing something ? first you have to have the ability to do it (YES WE CAN) then comes the act of doing (WILL)!

Simply, you cant say "yes we will" if you "cant do it" !

Hillary alibugi ndio maana hatumii tena hiyo !
 
Swala la kuwajibika Mwanasheria mkuu ni swala tofauti na EPA..tusichanganye mambo..1 issue at a time..hii inakuwa kama witch-hunt..kwamba tunashauku ya watu kujiuzulu..Johnson Mwanyika wa the Deputy AG, AG since 2005..Andrew Chnge alikuwa Mwanasheria mkuu tika 1972, he was at the helm of many contract far more than Mwanyika..Chenge needs to go 1st..msaidizi hawezi kwenda kwanza..sasa hv analaumiwa tu, he can only do but so much hapa..

.........naona tatizo lako linaanzia hapo nilipopamulika............get your facts straight!!

kwa taarifa yako............Mwanyika anapigiwa kelele kuwa ni bomu lilitoka kuulee Richmond........na sasa anaendeleza ukilaza wake katika kamati ya EPA.........kwa maneno kama eti akitaja majina 'tutawafedhehesha"!!!!! .......Damn!!......halafu nani alimuambia ili mtu ajiuzulu ni mpaka AIBE!!!

Blunder ni blunder hakuna cha wa kwanza wala wa mwisho wote....Chenge na Mwanyika wameshuhudia mikataba mibovu na ikapita machoni pao......wote ni kuondoka tu........
 
YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!YES WE CAN !!YES WE CAN !!
YES WE CAN !!YES WE CAN !! YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !! YES WE CANYES WE CAN !! !!
YES WE CAN !! YES WE CAN !!
YES WE CAN !!

Sasa subiri obama akusikie unasema "we cant" !!

mmmh kazi ipo.Kama sasa kila kitu tutakichukulia tu blindly kama slogan ya Obama inavyosema basi watu humu wataolewa sasa hivi.Kwa hiyo wewe bwana "yes we can" unaemwogopa Obama tukikuuliza kuwa Sheria ya ndoa ya Massachusettes inafaa kutumika Tanzania utajibuje?? Je utaendelea na jibu lako la yes we can??
Kuhusu Mwanyika lazima atakuwa na matatizo ya uelewa.Halafu anadai eti yeye ni mtaalamu.Hivi kweli wote wanaojiuzulu ni wezi?? au ni uwajibikaji??Kwa hiyo kwa maelezo yake hayo kuwa hawezi kujiuzulu kwa sababu hakuiba,je kwa hiyo anahalalisha kuwa Lowasa,Karamangi na Msabaha ni wezi???
Eti "Mwanasheria Mkuu wa Serikali" kwi kwi kwi kwi kwi ki kwi kwi
 
haya, NAKUSTAHI KWA LEO ! but YESSSSSSSSSSSSSS WEEEEEEEEEE CANNNNNNNNNN !

SI SE PUEDE !!
SI SE PUEDE
SI SE PUEDE
SI SE PUESE
SI SE PUEDE

NDIO TUNAWEZA
NDIO TUNAWEZA
NDIO TUNAWEZA
NDIO TUNAWEZA

YES WE CAN
YES WE CAN
YES WE CAN !!
 
Uzushi ndio huu..Kazi ya Mwanyika hata umpe Slaa, Mbowe or Zito ni ngumu..Wizi kwa kutumia Kampuni..tengeneza sheria mpya ladba..wakusanye wanachoweza..laws zetu ni british laws,a company is a legal person...Company zina-file chapter 11 or 13 zinakufa, kufilisika--haki ya kuchukua hela ya mtu hamna--mahakamani wanashida..tutapiga Tarumbeta wewe..

it doesnt matter Mwanyika haachii kazi na sisi kelele zetu ni just that: Kelele!!!

Mzee wa semina Elekezi za Kifisadi!!!
Kazi kweli kweli legal person ni kampuni!!!! ujinga huu, basi awataje wananchi tutajichukulia hukumu mikononi, kama tunavyofanya kwa vibaka wa simu ....Mikhail Khodorkovsky, founder of Russian oil company Yukos...amefungwa miaka 9 jela kwa kampuni yake kwa makosa ya Tax evasion, fraud & embezzlement....YUKOS ilikwepa akakamatwa mmiliki na kuwajibishwa...kwanini hii isifanyike kwetu...hii legal personal ya Mwanyika ina nikumbusha Prof Watson...sisi ndivyo tulivyo

Ushi
 
ndio baba wakingie kifua hao ! wanafikiri wakitega bomu kila mtu atalipuka, well this time naona bomu lao limekuwa dud !

Ninayo demo ya Mbowe jamanii eeeehh !

Kada, tatizo sio kuiba tuu mzazi. Unaweza kufanya misjudgemt then hiyo inakuwa ticket tosha ya kukufanya uachie madaraka. Mwanyika anaweza kuwa safi, lakini kama alivyo sign mama Meghji ile memo kisha Mzee Balali aka chota pesa za walipa kodi, kosa halikuwa kwamba mama Meghji ni mwizi, kosa lilikuwa ni misjudgemt.
 
Mwongo kwa kawaida ni lazima ajidanganye mwenyewe.

"Sikuiba siwezi kujihuzuru"

Hatujasema yeye kaiba, ila tunasema kashiriki kwa namna moja au nyingine katika kutuletea uchafu ule wa RDC. Kwamba anatuhumiwa kuiba ni yeye aliyesema na ingekuwa vema angesema anatuhumiwa kuiba Shs ngapi na katika tukio gani la wizi.

Mwanyika kama mwanasheria ameshiriki ameshiriki kwenye mikataba yote inayoigusa serikali katika kipindi chake. Utetezi wake ulitakiwa kusimama hapo.

Kwa makusudi kabisa amatengeneza Tuhuma za watu kumwita mwizi na kuanza kujitetea kwa wahariri wa vyombo vya habari Tanzania.

Suala siyo wizi suala ni kuyacement kwa sheria matukio yote ya Ufisadi na kuyatetea au kukaa kimya huku akiwa ni mwanasheria mkuu wa serikali.

Majibu ya Mwanyika ni dalili moja nzuri kwamba upupu tunaowapaka makalioni unafanya kazi iliyokusudiwa.
Vijana wa JF endelezeni kazi yenu nzuri hadi kila mtu aseme ujinga wake.

Yuko yule mzee mwenye experience ya ujinga na kiburi Mzee Chenge yeye anajifanya bubu kwenye hii kashfa.
Tutaenda naye taratibu kabisa mpaka mdadi utampanda na kuanza kuzoza. Mzee chenge akianza kuzoza atazoza kwa staili ya Mficha Maradhi.Muda maumivu yakizidia atazoza kwa lugha ya kwao.

Utetezi wa Mwanyika ni upuuzi wa hali ya juu na siku si nyingi, kabla ya 2010, atayameza maneno yake yote.
 
ndio baba wakingie kifua hao ! wanafikiri wakitega bomu kila mtu atalipuka, well this time naona bomu lao limekuwa dud !

Ninayo demo ya Mbowe jamanii eeeehh !

Wanachama wafuasi wa SISIEMU, zaidi wale wanaohisi damu zao si nyekundu ila ni kijani kama Mashati ya SISIEMU, wanapata shida sana wakisoma utetezi kama huu wa MH Mwanyika.
Ni mashabiki na wapiga mayowe tu ndo wenye uwezo wa kushangilia majibu yasiyo jenga hoja kama haya, kwa sababu mwisho wa siku waweza rudi kambi yeyote na kuiita nyumbani.
 
Taxi driver akipakia abiria kumbe wakawa majambazi. Wakikamatwa dereva huyu akijitetea kwamba yeye alikuwa ni dereva hoja kama hiyo haisaidii lazima aswekwe ndani
 
Uzushi ndio huu..Kazi ya Mwanyika hata umpe Slaa, Mbowe or Zito ni ngumu..Wizi kwa kutumia Kampuni..tengeneza sheria mpya ladba..wakusanye wanachoweza..laws zetu ni british laws,a company is a legal person...Company zina-file chapter 11 or 13 zinakufa, kufilisika--haki ya kuchukua hela ya mtu hamna--mahakamani wanashida..tutapiga Tarumbeta wewe..

it doesnt matter Mwanyika haachii kazi na sisi kelele zetu ni just that: Kelele!!!

mimi ninasema watashinda kama wanasheria wetu watakaowashtaki ni wale wale akina mwanyika. unajua DPP anaweza kuamua mtuhumiwa ashinde kwa kutumia vifungu vya ajabu kabisa. na kwa sababu hii ni kesi ya jinai X V Republic, watashinda. na hata kama wataamua kuiweka chini ya madai, sababu itasimamiwa na AG ambaye ni mwakilishi wa serikali, watashinda.

kushinda kwao si kwa sababu za legal personality, la hasha bali sababu ya waendesha kesi hizo.

kama angekuwa mimi ningefungua kesi kwa kutumia vifungu vya lifting the veil of the company, pale ambapo exception on legal personality inatangulizwa, na pale hatushtaki company bali tunashtaki directors, and any person related to it.

exceptions hizo zinakuja pale ambapo

a)kuna public interest. that is the aim of the company is to affect the public interest. obviously hii case unaweza ukaiweka hapa. kesi nyingi za kizungu for the public interest ni dhairi, na serikali imeshinda kuwashtaki wamiliki na kufunga hizo kampuni.

madhalani kama kampuni inashirikiana na al quaida na inafadhiri ugaidi hapa Tanzania, unadhani wamiliki wake hawatafikishwa mahakamani, na kampuni hiyo kufungwa. sheria zipo hapa tz zinazoweka hili kama exceptions. ila hata kama zisingekuwepo bado tungeweza kutumia sheria za nje kuzibz mwanya"Lacunae". angalia sheria ya Judicature and Application of Laws Act inayoruhusu kutumia sheria za nje kama sheria zetu ziko silent, au kutumia sheria za nje kutafsiri sheria zetu.

b) adui wa inchi husika. kama kampuni inafanya kazi zinazopingana na nchi yetu, pia legal personality inaweza kutumika. hata hapa kuna kesi nyingi za kizungu zilizofanikiwa kuonyesha hili.

c)wakati wa vita, pale kampuni inapofanya kazi inchi nyingine katika kusaidia vitani. mfano kampuni ikionyesha kusambaza silaha za maadui, huwezi kutumia legal personality.

d) morality, pale ambapo kampuni inafanya mambo tofauti na maadili. kampuni moja ya ulaya ilijisajili kwa kazi fulani ila baadaye ikagundulika kuwa ilikuwa inajishughulisha na madangulo. mbona ilifutwa na wamiliki kushtakiwa licha ya kwamba hawa watu walijitetea kuwa wamiliki ni tofauti sana na kampuni. ila walitiwa hatiani.

e)blespheming; pale ambapo kampuni moja inatumika kukasfu dini nyingine, au kutaka kusababisha sintofahamu, mwenye kampuni atashtakiwa na hata kama atajitetea hawezi kushinda kwa kisingizio cha legal personality.

hivyo basi swala hili litategemea aliyepeleka kesi ni nani na ni wakati gani na amejiandaa je.
 
Back
Top Bottom