Mwandosya ajiuzulu?

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
141
Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.

Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.

Source: Dira ya mtanzania.
 
Nyie ndo mmekuja na hii thread then badala ya kutujuza zaidi mnatuuliza sisi. Bring reliable sources please!
 
nasikia ni kwa sababu ya serikali dhaifu ya mkweleee na afya yake!
SISI MAGAMBA TUNASEMA ANATAFUTA UMAARUUFU HUYU!
 
Utakuwa ni uamuzi wa busara sana,hakuna haja ya kung'ang'ania cheo ilhali afya mgogoro!
 
tangu ateuliwe kuwa waziri amekuwa mgonjwa muda wote boraapumzike amwachie Eng. Chiza, ikngawa nae siyo mzima sana
 
Hivi Kisheria ni nani mwenye Mamlaka ya kutangaza Kujiuzulu kwa Waziri???

Je Katiba na Sheria za Tanzania zinasema DIRA ya Mtanzania ndio litatangaza Kujiuzulu kwa Waziri ?
Vp Ubunge nao atajiuzulu pia kama ni sababu za Kiafya!!!! na Ujumbe wa NEC je?

mtu mwenye akili atajiuliza maswali haya...hataanza kuhusiha swala hili na mbio za 2015.
 
Dira ya Mtanzania chini ya kanjanja Charles Mulinda lini ikawa reliable source jamani? Tunasubiri official announcement kutoka Ikulu. Tunachojua Prof. bado yupo kwenye matibabu India na anasumbuliwa na tatizo la kansaya damu (Leukamia).

Tunamuombea afya njema kama binadamu yeyote na si kufurahia mwenzio anapopigania uhai wake. He was not that bad guy wanajamvi!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Dira ya Mtanzania chini ya kanjanja Charles Mulinda lini ikawa reliable source jamani? Tunasubiri official announcement kutoka Ikulu. Tunachojua Prof. bado yupo kwenye matibabu India na anasumbuliwa na tatizo la kansaya damu (Leukamia). Tunamuombea afya njema kama binadamu yeyote na si kufurahia mwenzio anapopigania uhai wake. He was not that bad guy wanajamvi!

Ni kweli ingawa pia kujiuzulu hakumaanishi kuwa yeye ni fisadi
au gamba linalotakiwa kuvuliwa, ni ishara ya uungwana na usomi
uliotukuka...
 
Bishop Hiluka;
Ni kweli ingawa pia kujiuzulu hakumaanishi kuwa yeye ni fisadi<br />
au gamba linalotakiwa kuvuliwa, ni ishara ya uungwana na usomi<br />
uliotukuka..
Well argued Bishop. Nadhani umesomeka vema kabisa.
 
Back
Top Bottom