Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

Na nyie mnachukua miezi mingapi kuanza kuwa wakoma(ombaomba)...? Maana mwanamke wa kibongo akitongozwa siku anayokubali ndio kwenye kitabu chake anaandika kama ndio siku ameanza ajira...!! Samahani lakini mtoa mada kwa shambulio
Umenikumbusha wiki tatu zilizopita. Alinipa namba yake nami nikampatia yangu. Baada ya muda kama saa moja nikakuta sms ikisema. “ Samahani naomba unisaidie shilingi 20,000, nimpeleke mama hospital BP imepanda na hapa sina pesa nitakurudishia mwishoni mwa mwezi. Nakushukuru kwa msaada wako kama utanijali”
 
Sasa wee unaitwa ombeni unategemea nn🤣🤣🤣
 
Mambo nimengi muda mchache .
Wiki kama moja iliopita nimemuelewa slay queen mmoja hivi wa mjini kati nikampa hi akaitikia nikamwambia ukovizur nimekuelewa aka tabasamu skutaka kuongea sana nikamuomba namba akataka kusita ila akaniomba simu nikampa akaandika namba nikasave siku ikapita sikumcheki kesho yake nikamcheki asubuh nikamwambia Nimekumic kukuona njoo home bas bila kusita Mrembo akasema ntakuja jion saa 12.(kiutani)
Imefika saa 12 jion kimya nikajua hapa Hamna kitu nikakausha imefika saa 2 usiku naona text inaingia nipo mitaa ya home kwako sema spajua nilimueleza nakaa sehemu frani sikuamini nikatoka kumfata kweli nikamkuta nikamchukua mbaka home nikamuandalia msosi wanguvu kala tumestay mbaka saa 4 mtoto nika mjalibu leo siunalala kwangu kimasiara mtoto akajibu yeah powa usjali ntaondoka kesho kimoyo moyo nikasema umekwisha maana sikuamini kinachotokea kweli alilala nilimzagamua night balaa asubuh kumekucha fresh aliondoka mida ya saa nne alivonipa taarifa kuwa amefika home hapoapo nikamlamba block ya maana mbaka leo Naendelea na mitikasi yangu kama hakijatokea kitu nahis yeye mwenyew haamini kilichotokea.
Mtoa mada nikwambie tu wewe kama unanipa nipe habar za kukaa miezi miwili hayo mambo ya kiwaki sio unyama wala nini skuiz tupo katika dunia ilioendelea mambo ni fasta fasta yanini kupotezeana muda nakutongoza leo tupeane leo au kesho bas kila mtu aendelee na michakato yake ya maisha
Basi mwenyewe ukaona umemuweeeezaaa... Kwa huo uandishi wako wa MBAKA ujue huyo demu alikukubali tu ili akuambukize UKIMWI
 
Sasa kwanini ulimblock?
 
Hapo unaona umefanya jambo jema kabisa. Wanaume wanaojitambua hawawezi fanya ulichokifanya wewe. Lazima kuna walakini sehem.

Mwanamke anaekuletea mbususu bila mba mba mba tena haraka namna hiyo, huyo ni dhahabu. You need to keep that woman no matter what!!!

Nikweli mkuu ila Hapana nibola nilivyo mpotezea sababu angeteseka tu misijuagi kupenda moyo wangu naujua mimi hisia za mapenz zilishakufaga najua unaona nimemkatili lakini nibola aendelee tu namaisha yake
 
Sasa kwanini ulimblock?

Nilimuacha aendelee na maisha yake sababu misina upendo upendo wakweli kwangu ulishakufaga najua angeteseka tu na ndomana hata sikumtamkia au kumwambia kuwa nampenda au nataka kumuoa nilimwambia tu yuko vizur nimemuelewa bas ye nimtu mzima na naimani alinielewa nini namaanisha
 
KAPIME UKIMWI na MAGONJWA YA ZINAA....nmeandika kwa herufi kubwa na msisitizo.

Mkuu katika vitu ambavyo siwez kujilisk ni kuuza mechi never huwez kutumia kondomu we nenda tu siolazima maybe niwe nakujua in and out na tulishapima hapo sawa tutacheza peku
 
Moja kati ya mwanamke ambae sioni shida kumpa pesa anayotaka siku anahitaji ni Mwanamke ambae

the moment nimehitaji amenipa,hajanipa kona wala excuse and if ikawepo excuse ni TRUE EXCUSE

sio excuse za kimagumashi,nyie mnaotaka tukae kama malaika gabriel na baba mwamposa nyie mtasubri sana

Mahusiano ni SEX ndio point kwanza ingetakiwa siku hyo hyo unanikubali tunakulana the rest yanakuja mbeleni

ni vile tu kuna mambo ya AFYA CHECKUP ila kama sio AFYA iilitakiwa nakutongoza leo,ukinkubalia tu Tunaenda Lodge tunakulana..Tuitane baby zenye uhai,sio unaniita mume wakat hata tamu yako siijui,staki utoto.
 
Halafu baadaye hao hao wanawake mnaanza kuwatukana kuwa hawafai kuolewa maana wametumika sana hivyo mnataka mabikira, maana anakutana na wanaume wangapi kama wewe ambao kila mmoja anataka amle tu kisha asepe (kwa gia ya kumuoa) sasa huyo mwanamke ataachaje kutumika, anyway endeleeni kuzimaliza hizo bikira na kuzitanua hizo njia uzuri wanawake wa kuoa ndio hao hao mnaowatumia ninyi wengine hawako

Mkuu mbona unalalamika kwa uchungu sana inaoneka unaisaka sana bikira na hujafanikiwa mbaka leo kila unaekutana nae Unsealed
 
Wadada wa siku hizi bana yani anataka akufaidi tu ila yeye kutoa tamu anaona ishu,umemkubalia mwanaume unaona shida gani kumpa hata kama n siku hyo hyo?

eti atakuchukulia wewe mwepesi, mpka umemkubali tayari nishakuchukulia mwepesi wewe ushakosea tangu mwanzo muhimu ni zingatia namna unaweza mtunza mwanaume ulompata,sababu ndogo ndogo kama hizo zisikuachanishe na mwanaume wako.

kuwahi/kuchelewa sio ticket ya kutoachwa hata ukibania miaka ila kama lengo lilikua nikuliwa uachwe utaliwa tu na utaachwa.

Kuna wanaume type yangu nakutongoza leo,nakuomba mechi baada ya mwaka,ukinikubalia LEO itabidi usubiri miezi minne mbele nipate nafasi ya kuku kula, After kuku kula..Umeachwa.

so acha kukariri kuwahi kuombwa n unataka chezewa,kuna kina sisi tunachelewa haswa hata 2yrs ila ni ukiliwa umeachwa otherwise uwe vizuri kichwani usiwe jinga jinga ndio tutadumu.
 
Back
Top Bottom