Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Dalili kubwa zaidi ya ushoga ni kujifanya uko mkali sana na mkosoaji mkubwa wa mashoga.

Manake hapo unakuwa una project mwelekeo wako wa kijinsia kwa kuwanyooshea wengine vidole.

Mwanaume anayejiamini sidhani kama atakuwa na muda wa kuanza kufikiria dalili za kishoga zikoje zikoje na kuanza kutoa ushauri.

Shoga is as shoga does.
Kabisa nyaningabu nakuunga mkono
 
Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,

Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia

1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana

2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi

3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga

4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada

5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa

6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza

7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine

8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza

9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo

10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga

11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo

Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
Kwanza. Pole sana kwa kujizoesha na kukariri maisha
pili, mazoea tu hayo hamna ukwel wowote
Matendo ya mtu ndo tabia ya mtu kufanya hvyo haimaanishi unavyodhan ww
ushazoea kukariri
poleeeeeeeee
kugema mazoea humwangusha mgema
pole sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Pia mwanaume kuwa na maneno mengi yasiyoisha huo nao ni ubasha wa kiwango cha juu dume la kweli haliongeagi sana huwa limetulia tuu ukizingua linakubandua.

Mwanaume hawi mmbea we ukiona mwanaume mbea na anachunguza sana mambo jua huyo ni shogaa nitambo sanaa.

Dume la kweli halikasiriki ovyo huwa linajiheshimu ukizingua unabanduliwa fasta,
Dume la kweli halicheki cheki ovyo na halipotezi mda wake kujiremba na kuweka wevu za za kishoga na kufanyiwa masaji mjini humo mwisho wa siku ukilegea ubooo utakua unaulilia.

Dume la kweli halivai modo au au staili za mavazi na mapambo ya ajabu hilo hutupia kawaida tuu na ukitaka kuamini wana mitindo wengi ni mashoga we cheki hata wanavyokaa au wanavyohijiwa lazima utatambua kitu tuu pia uso huwa umechubuliwa au wamejipata vipodozi vyawanawake sasa sijui huo uso anamringishia nani kama sio uboooo tuu unatafutwa.

Havai vikaptura vya ajabu kama wanavyovaa hawa mafalaa huku mjini na insta wanajiona wajaanja kumbe wangese tuu. hivi vikaptura unavaa halafu unakunja huo ni ngese wa hali ya juu. Kuna baadhi ya mavazi sio ya kuvaa mwanaume pia hizi jinsi zilizokatwa mimi naziangalia tuu ila hazina lolote. Urembo waachie wanawake tuu.
 
Hata kujali wanaume wenzio wanafanya nini au wanaandika nini nao ushoga.

Mwanaume halisi hajali wanaume wengine wanafanya nini.

Anajali yake yanayomhusu tu.

Dume zima umekaa umekodoa macho kuona wanaume wengine wanafanya nini?

Hapana aisee. Hiyo haihusiki kabisa.
Mkuu mbona povu jingi sana? imekuuma eeh? ndo ivo uache swaga za kike we kwanza mtu mzima sana hapa ndani.

Au mwenzetu we kibabu sio rizki? dume la kweli haliwi na majungu we umechanwa na jembe hapa tulia tuu kamwambie mama akupikie chakula cha usiku maumivu yaishe gebew weew.

Unaililia sana marekani we nenda wakubandue mnduku huo lafa mkubwa.
 
Umeliona povu langu ila lako hujaliona eh?

Na matusi ya nini sasa?

Wewe ni shoga.
 
Pia mwanaume kuwa na maneno mengi yasiyoisha huo nao ni ubasha wa kiwango cha juu dume la kweli haliongeagi sana huwa limetulia tuu ukizingua linakubandua.

Mwanaume hawi mmbea we ukiona mwanaume mbea na anachunguza sana mambo jua huyo ni shogaa nitambo sanaa.

Dume la kweli halikasiriki ovyo huwa linajiheshimu ukizingua unabanduliwa fasta,
Dume la kweli halicheki cheki ovyo na halipotezi mda wake kujiremba na kuweka wevu za za kishoga na kufanyiwa masaji mjini humo mwisho wa siku ukilegea ubooo utakua unaulilia.

Dume la kweli halivai modo au au staili za mavazi na mapambo ya ajabu hilo hutupia kawaida tuu na ukitaka kuamini wana mitindo wengi ni mashoga we cheki hata wanavyokaa au wanavyohijiwa lazima utatambua kitu tuu pia uso huwa umechubuliwa au wamejipata vipodozi vyawanawake sasa sijui huo uso anamringishia nani kama sio uboooo tuu unatafutwa.

Havai vikaptura vya ajabu kama wanavyovaa hawa mafalaa huku mjini na insta wanajiona wajaanja kumbe wangese tuu. hivi vikaptura unavaa halafu unakunja huo ni ngese wa hali ya juu. Kuna baadhi ya mavazi sio ya kuvaa mwanaume pia hizi jinsi zilizokatwa mimi naziangalia tuu ila hazina lolote. Urembo waachie wanawake tuu.
Mashoga huwa mna maneno mengi sana.
 
kanye ukalale mjomba sina mda na wewe, kwani wewe uliposti nini huko ntyumma kuhusu huu uzi?
Huna muda na mimi huki unaninukuu na kuandika migazeti!

Moja ya dalili za ushoga ni kutojielewa.

Kutwa kucha unawaza nnya tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom