Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwana umee kumrekodi demu wake wakt wanafanya mapenzi na kusambaza mitandaoni n ushambaa uliopitilizaaaaa
 
Hv nani alianzisha hii style ya kuandika poye cjui thatha naomba mrejesho jamani na nini maana yake
 
Namba tano iko Pouwa.. The rest it depends na una communicate na nan na mahusiano yenu.. Ila kuchat kike na Wanaume wenzio kweli sio pouwa
 
Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,

Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia

1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana

2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi


3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga

4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada

5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa

6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza

7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine


8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza

9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo

10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga

11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo

Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
mwanaume anayetembea barabarani huku amemshika mwenzie wa kiume mkono.
13.Mwanaume ambaye anambusu mwenzie akiwa anamuaga tena kwa mkono ukiwa mdomoni eti mwaaaaaaaaaah.
14.Mwanaume ambaye anapenda kuigiza kuongea kama wanawake.
15.Mwanaume ambaye anavaa suruali za kubana sana miguu.
16.Mwanaume ambaye anasuka nywele twende kilioni.
17.Mwanaume ambaye anapenda sana kusikiliza taarabu za mipasho na kuimba.
18.Mwanaume ambaye akiwa na mkewe au GF wake yeye ana tabia za kususa susa tu mara asusie chakula,mara asusie ku do...
19.Mwanaume ambaye hupenda kupulizia pafyumu kali sana na nyingi zimetengenezwa mahsusi kwa ajili ya dada zetu.
20.Mwanaume ambaye yeye ni mmbea na mpenda shari na watoto wa kike.

Yaani watu wa aina hii wakiwa katikati ya kundi la wababe kama akina scorpion tena usiku au wakipelekwa jela heeeeeeeeeeeeeee wana hatari ya kugeuzwa wapishi wa zamu na vipozeo vya wasela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom