Mwanaume kupendeza; njoo ung'are na Hornet

aisee nimependa ! yaan hapa nianze mchakato wa kutafta mfadhiri aninunulie shuka😎...jaman wana jf maendeleo hayana chama...tuweke uchama pemben tuliingizie Taifa letu fedha za kigeni😊...hornet nitakufata kwa ajili ya shuka my dear...matamuu!.naomben michango yenyu nipate matandiko😊😁😁💪
 
aisee nimependa ! yaan hapa nianze mchakato wa kutafta mfadhiri aninunulie shuka...jaman wana jf maendeleo hayana chama...tuweke uchama pemben tuliingizie Taifa letu fedha za kigeni...hornet nitakufata kwa ajili ya shuka my dear...matamuu!.naomben michango yenyu nipate matandiko

Hahhaaaa

Michango ya humu nimeiogopa umeona mwenzio kaanzishiwa uzi 🤣🤣🤣🤣

Karibu sana mrembo hili shuka ukitandika litatatua matatizo yoooote,

Asubuhi utashangaa mahaba yatakavyoongezeka
 
Wapendwa wanaJf najua hizi bidhaa hata mtaani zipo!
Ila niungisheni kila bidhaa itakuwa na bonus ya leso ya cotton

Bidhaa zetu zinatoka Uganda,kule wanaleta mzigo genuine tofauti na Kariakoo uchakachuaji umekuwa mwingi!

Delivery ipo kwa wana Daresalama na mikoani pia!

Order leo kwa maendeleo ya Taifa,
Uzalendo kwanza!

Hapa kuna kadeti ambazo zipo rangi zote
Size 30-40
Hazipauki! Guarantee Miaka 5
View attachment 979403View attachment 979405

Bei yake ni 35,000 na nyingine 40,000/=

TISHETI
Hapa kuna kola za duara bei ni 25,000/=
Zile za form six bei ni 25,000-30,000/=
View attachment 979406View attachment 979408

Pia kuna viatu ambavyo bei ni 120,000/=
Kama hivi hapa
View attachment 979409View attachment 979410View attachment 979411

Shuka size kubwa ya mwisho bei ni 75,000\= shuka mbili na bonus ya foronya nne
View attachment 979413View attachment 979415

Mahali ni Kimara mwisho
Mawasiliano;0755155782

Karibuni sana!

Baba la baba RRONDO Mshanajr manengelo Shunie Mzigua90 BAK Elli merengo90 Ngoda95 @ormeta
Mzee wa kutupia Deo

Na wengine woote karibuni tujenge taifa.
Hizo suruali kama utaleta size 46-48 tuambie
 
Khaaaaaa hapana bwana
Rudi nyumbani kumenoga ndiyo neno la leo

Kwa jirani kunanuka

Badilisha mapishi walau 2019 iwe mtelezo
Huko kwingine waachie wengine....
Nisiongee sana nikakosa hela


😂😂😂 i was kiddng...nyumban kumedamshi bibi ww..yaan siku nyingine una mabusara kama yote had nakuogopa😂😂
 
Back
Top Bottom