Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Sio suala la kuleta hayo masuala ya kulia lia ili uonewe huruma

uhalisia wa mambo ndiyo utakao kufanya uchokwe na huyo mwanamke

kwa asilimia kubwa wanawake wazuri huwa wanahitaji kugharamiwa ukiwa upo nyuma nyuma kwa masuala ya kucare ndiyo hapo wengine wanakuzidi kete

Ni bora upate unayeendana nae tu hao wengine ni stress
upo sawa chief...lkn hilo la kwenda kwa mwanamke ukiSeek her sympath and pity ni kujishushia hadhi ya uanaume,

Wanawake mara nyingi ndio wanatumia hiyo technique, mwanaume ni mwanaume tu asee hata kama ni konda wa daladala ukimfata kiume lazima akuelewe hata kama hatokubali.
 
Jamani eti nakutana na mwanamke siku ya kwanza naanza tu kumwambia "nakupenda" bila hata kumsifia sifia jinsi alivyo eti kwa kuwa umesema niende kwenye point hiyo hapana

ngoja nika google nipate muongozo " how to start conversation with beautful girl ntapata nyingi tuu
kuStart Convo na mwanamke huwa inategemea na aina ya mwanamke, mazingira mliyopo na muda ambao mpo...japo kuna zile basic points tu.
 
Back
Top Bottom