Ni kweli mkuu..umewasahau na wale wa xaxa, k, my, p, frexhImeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi hata mschana anaeniambia tyu hua namrekebisha aache
aisee kuna kijana mmoja aliniandikia hilo neno, na wakati huohuo kama jana yake kuna mdada mmoja alikuwa anajipendekeza kwangu wakati anajua mimi mume wa mtu...naye alinitumai hilo neno....ile meseji yake hata kujibu huyo kijana sikumjibu,....nilichefuka mno, nikaona kama nawasiliana na bwabwa vile.Imeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi hata mschana anaeniambia tyu hua namrekebisha aache
Yaani ukitaka nisikujibu msg yako basi tumia hayo maujingaNi kweli mkuu..umewasahau na wale wa xaxa, k, my, p, frexh
Mimi huwa nawakatia..Mwanaume atanitumiaje haya maneno aisee..wanakera balaaYaani ukitaka nisikujibu msg yako basi tumia hayo maujinga
Aise nalichukia hili neno iwe me au ke katamkaKuna wale wa "jomoni"
Hili neno silipendi hata kuliona tuKuna wale wa "jomoni"
Hahaha Tatizo shule.Yaani ukitaka nisikujibu msg yako basi tumia hayo maujinga
hahahahaa,hii too muchKuna wale wa "jomoni"
, mimi huwa nauliza anamaanisha sijaelewa, akirudia tena nami nauliza tena mpaka anajistukia.Inakera Kweli utakuta dume linatext PW, Frx ,K, Jamoni, My, Bext, Tanteee....aibu hii