Mwanasheria Zanzibar Akubaliana na hoja ya Ally Kessy bungeni

yaani Tanganyika ni Mkoloni wa Zanzibar lakini ni Mkoloni wa ajabu Duniani , Mkoloni anayechunwa badala ya kuingiza faida , ni aina ya Ukoloni kioja , watawaliwa Yaani Wazanzibar wamekuwa wajanja kuliko Mkoloni Tanganyika , wamebuni mbinu ya kulundika Utitiri wa Watumishi na mashida kibao vyote vinagharamiwa na Mkoloni Tanganyika pasipo kujielewa, Pesa inayotumika kuibvwleza na kuilinda Zanzibar ni kubwa sana na laiti ingekuwa inabaki Tanganyika na kufanya maendeleo Leo hii Tanganyika ingekuwa Nchi Tajiri kuliko South Afrika .
 
huu cio muungano ni muchangayiko
Ni aina ya muungano kioja uliosalia Duniani , upande mmoja una baraza la wakilishi , mawaziri wao, Rais wao, mikoa Yao, bendera Yao, wimbo wao, nk hata Ardhi Yao Ni marufuku mtu wa Tanganyika kuimiliki lakini wao Ni Ruksa kumiliki Ardhi Tanganyika , cha Zanzibar Ni cha Wazanzibar tu lakini cha Tanganyika ni cha woote, huo Ni muungano wa ajabu uliosalia Duniani.
 
Zanzibar ni wajanja Kwa bara maana wanawachuna mpaka basi lakini bado hawajielewi tu.
 
Zanzibar ni wajanja Kwa bara maana wanawachuna mpaka basi lakini bado hawajielewi tu.
Ni nani anaeng'ang'ania ubaki huu muungano? Zanzibar zamani sana hatuutaki huu muungano kwa kuwa hatuna udugu wala faida nao ila Tanganyika bado wametukaba roho
 
Zanzibar wana baraza la wawakilishi linalojadili mambo ya Zanzibar tu kiuhalisia lilitakiwa liwepo bunge la Tanganyika na bunge la jamuhuri ya muungano libaki kuwa la mambo ya muungano. Me nahisi Tanganyika ndo wameingia sehemu isiyowahusu
NASHANGAA KUNA BUNGE HADI LA AFRICA MASHARIKI LAKINI TANGANYIKA HATUNA BUNGE.
 
Zbar ni koloni letu hawana ujanja maana tunawavalisha na kuwalisha! Hawana ujanja....mwaka wa 52 huu hawawezi kujitenga maana serikali itakwama,,,,hela yoote inatoka bara! Kula kulala kuvaa......maisha yote na ukubwa woote wa bajeti ni Bara! Hawana ujanja....ni koloni la mtu mweusi! Watuliee!!
 
Zanzibar sasa wajiandae kuletewa Wachina kuna mpango unafanyika kuleta Wachina laki nne wote watapelekwa Zanzibar ili wakafindishe kufanya kazi na kuacha kushinda vibalazani kusubiri waletewe chakula toka Tanganyika pia Wachina watazaa nao ili kupunguza kasi Yao ya usumbufu baada ya miaka kumi kutakuwa na majina ya Karume Lee, Hassan wang nk .
 
Mbona huku tunapga kura kw wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano Tz wakati Znz wawakilishi na wabunge wa jamhuri
Hapa mmoja anamnyonya mwenzie
 
Pesa inayotumika kuwalea Zanzibar ingekuwa imebaki Tangany ika ikatumika Vizuri Leo hii Nchi ingekuwa Tajiri kuliko Afrika kusini .
 
Mbona haya yote warioba alikuwa ameyaweka sawa, si ndiyo haohao kina kessy waliiharibuile rasmi ya Warioba. Tatizo ni pale CCM wanapojitekenya na kujiweka wenyewe
Kessy aliwahi kuropoka hivi hivi kwenye bunge la katba wakataka kumtoa meno wazanzibar kwa hasira. Naona kaamua kukumbushia.
 
Kimsingi kuwe na bunge la Tanganyika ambalo pamoja na mambo mengine bunge hili litasaidia kujadili mambo ya Tanganyika ambayo si ya muungano kama lilivyo baraza la wawakilishi
 
Bunge letu linavyoendeshwa kwa mtindo wa mbunge yeyote kuchangia sekta yoyote haliwezi kuleta tija na ufanisi.
 
Kimsingi kuwe na bunge la Tanganyika ambalo pamoja na mambo mengine bunge hili litasaidia kujadili mambo ya Tanganyika ambayo si ya muungano kama lilivyo baraza la wawakilishi
chukua maua yako mapema, mpo wachache wenye akili hizi:
Tunajadili shule ya Msingi Mienyi huko bukoba then mchanhgiaji mbunge kutoka Wete, jimbo lenye wananchi Elfu nne mawazo yake na mambo yake hawezi kujadili in a picture of jimbo lenye watu elfu 50.
 
Kessy alikuwa sahihi, bandari imeuzwa rais mzanzibar, waziri mzanzibar, mkurugenzi mkuu mzanzibar, katibu mkuu mzanzibar halafu wanapeleka bungeni na wabunge wa Zanzibar wanabariki kuuzwa bandari za Tanganyika huku wakidai kuwa Zanzibar haihusiki
 
Back
Top Bottom