MWANASHERIA MKUU wa SERIKALI ATIZAMWE

May 1, 2012
95
96
Majibu aliyotoa BUNGENI leo kuhusu HOJA ya LISSU hayafai kutolewa na MTUMISHI na MWANASHERIA MKUU wa nchi kwani yeye hakuulizwa lile swali bali lilitolewa kwa SPIKA na hatimaye LUKUVI akasema linaweza kujadiliwa siku zijazo kwani kwa sasa bado ishu kubwa ni UOPOAJI wa maiti na matibabu kwa wle walioumia.LUKUVI amefanya vema ila MWANASHERIA MKUU ametia aibu eti si kila mwenye Kichwa chenye nywele ana akili akiimanisha LISU ana kichwa lakini hana akili.MAJIBU ya namna hiyo ni UTOVU WA NIDHAMU si kwa LISSU kama MBUNGE tu bali hata kwa BUNGE zima.ALichotakiwa kufanya mwanasheria mkuu ni kukazia yale ya LUKUVI na si MATUSI huku akikaa kwenye kiti na kuonesha kwamba aliimanisha kwa kuchezesha kichwa.NAMPONGEZA LISSU kwa kuwa na UUNGWANA Pasipo Kujibu TUSI kwa TUSI ila nashauri WTZ tujue kwamba hatuna MWANASHERIA MKUU ila tuna MROPOKAJI na mtu anayefanya kazi kwa matakwa ya tabaka tawala na si tabaka la chini la WALALAHOI.Pia kitendo cha SPIKA kuonesha kuridhia yale MATUSI na kutokemea au kumtaka MWANASHERIA MKUU afute yale MATUSI ni mwanzo wa kulea UOVU.Kesho akitukana mtu wa UPINZANI Je ataachwa au yeye atachukuliwa hatua?SPIKA tenda HAKI.
 
majibu aliyotoa bungeni leo kuhusu hoja ya lissu hayafai kutolewa na mtumishi na mwanasheria mkuu wa nchi kwani yeye hakuulizwa lile swali bali lilitolewa kwa spika na hatimaye lukuvi akasema linaweza kujadiliwa siku zijazo kwani kwa sasa bado ishu kubwa ni uopoaji wa maiti na matibabu kwa wle walioumia.lukuvi amefanya vema ila mwanasheria mkuu ametia aibu eti si kila mwenye kichwa chenye nywele ana akili akiimanisha lisu ana kichwa lakini hana akili.majibu ya namna hiyo ni utovu wa nidhamu si kwa lissu kama mbunge tu bali hata kwa bunge zima.alichotakiwa kufanya mwanasheria mkuu ni kukazia yale ya lukuvi na si matusi huku akikaa kwenye kiti na kuonesha kwamba aliimanisha kwa kuchezesha kichwa.nampongeza lissu kwa kuwa na uungwana pasipo kujibu tusi kwa tusi ila nashauri wtz tujue kwamba hatuna mwanasheria mkuu ila tuna mropokaji na mtu anayefanya kazi kwa matakwa ya tabaka tawala na si tabaka la chini la walalahoi.pia kitendo cha spika kuonesha kuridhia yale matusi na kutokemea au kumtaka mwanasheria mkuu afute yale matusi ni mwanzo wa kulea uovu.kesho akitukana mtu wa upinzani je ataachwa au yeye atachukuliwa hatua?spika tenda haki.

yani watu wa humu jf ..wengi akili zenu ni za kufuata mkumbo tu.. Wakitukana chadema ni sawa wakitukanwa chadema vibaya... Wanaboa hawa wabunge wenu..sasa hoja ya kujali ajali ya meli kwa faida gani????? .na bunge jana juzi lilisimamishwa.... Mnapoteza mvuto kwa wananchi aminini hivyo ..mharibu mfumo mzima wa serikali na bunge
 
Back
Top Bottom