Mwanamke wa kiha

kipili

Member
Oct 6, 2011
29
4
kuna kaka yangu amepata mwanake kutoka kigoma yaani muha,anataka kumuowa
je wanawake wa kiha wanatamaduni zipi na tabia zipi? tusaidieni wana JF
 
mamie embu waache wamependana waoane, mambo ya kuchunguza makabila mambo siku iz hakunaga.
mmh au nawe ndio wifi gumu tena.
achana nao bana, angalia yanayokuhusu.
 
Ushirikina mkuu,hata kama ni msomi ushirikina hawaachi.kuna mmoja ni mhasibu nilimkuta anakunywa doz ya dawa ya kupendwa kazini,asipoteze hela,na asifukuzwe kazi,cha kushangaza alihamishiwa branch nyingine akakaa 2wks akafukuzwa kazi, karibuni ya waha wote iwe wa kike au kiume wanaasili ya ushirikina.
 
Ajiandae kulea mtoto wa nje ya ndoa ila ( Kitanda hakizai haramu)
 
Mkuu hao wanakushauri upupu tu,mie niko nao hapa kasulu hawana shida chamsingi timiza nia yako.Uwe tayari kupanda GARI YA TAA MOJA(Treni) ila toa shaka mabasi yapo km sumry,adventure. UBATASHE MHIRA MUGABO, ULAKOZE MWEMWE!
 
Haki ya mungu...hivi ninyi wote mliotoa comments zenu, za ushirikina, uchawi, kutoka nje ya ndoa etc mna ushahidi wa haya mnayosema? inasikitisha sana kuona karne hii bado kuna watu wa jinsi hii.....if i can ask you guys, unawezaje kujua mtu ni mshirikina if ur not doing the same? Ibilisi humjua ibilisi mwenzie....that is the principles...kwa maana hiyo if these people "Waha" ni washirikiana na wewe unaetoa coment ni Myao, Mgogo, Mhaya au Mchagga, the same way wewe ni mshirikina tu, umeyajuaje hayo? Na mwisho ni kwa muuliza swali, kimsingi swali lako ni la kijinga na halina msingi wowote, if ur brother ka fall na mtu hata angekuwa wa kabila gani, cha msingi wamependana...achana nao, na kama wewe ni mwanake anagalia sana tabia yako "what goes around........comes around"
 
Tatizo kubwa la waha ni ubishi, matusi na kuchonga mno. Mwanamke wa kiha ukimwambia neno moja mwenzio anarusha maneno kumi. Ni vigumu sana kumshauri.
 
Mkuu hao wanakushauri upupu tu,mie niko nao hapa kasulu hawana shida chamsingi timiza nia yako.Uwe tayari kupanda GARI YA TAA MOJA(Treni) ila toa shaka mabasi yapo km sumry,adventure. UBATASHE MHIRA MUGABO, ULAKOZE MWEMWE!

Mwidiwe! hakuna kitu,kila mahali wazuri wapo na wabaya pia! Tena wa kasulu na wale wakibondo wote ovyo tu....!ukarimu wa nje ila ndani uozo mbaya...
 
Haki ya mungu...hivi ninyi wote mliotoa comments zenu, za ushirikina, uchawi, kutoka nje ya ndoa etc mna ushahidi wa haya mnayosema? inasikitisha sana kuona karne hii bado kuna watu wa jinsi hii.....if i can ask you guys, unawezaje kujua mtu ni mshirikina if ur not doing the same? Ibilisi humjua ibilisi mwenzie....that is the principles...kwa maana hiyo if these people "Waha" ni washirikiana na wewe unaetoa coment ni Myao, Mgogo, Mhaya au Mchagga, the same way wewe ni mshirikina tu, umeyajuaje hayo? Na mwisho ni kwa muuliza swali, kimsingi swali lako ni la kijinga na halina msingi wowote, if ur brother ka fall na mtu hata angekuwa wa kabila gani, cha msingi wamependana...achana nao, na kama wewe ni mwanake anagalia sana tabia yako "what goes around........comes around"

So Roho wa bwana hamjui shetani!?na shetani hamjui Mungu ila shetani mwenzake tu!? Na kama ni mjinga utaweza kuwajua wajinga wenzako tu!? Dadavua hapa.......,maana naona ww ndio huna ushahidi wa unayoyasema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom