Mwanamke na kufika kileleni

Try to be open, ume2mia lugha ya picha sehemu nyingi n then neno kileleni limezoeleka pachika msemo mwingne hat stendi, kichuguuni, au hata ki2oni au mwisho wa safari..
 
Jamani wanajamii ninarafiki yangu mpanzi alikuwa ananisimulia story yake:

Rafiki: Mama Kubwa mwnzio ninapoanza mazoezi huwa nakimbia mwendo mdogo mdogo na katika mazoezi hayo kuna mahali nikifika nakuta kimlima kikali sana nikifika hapo huwa naongeza speed hadi 120.......kadiri ninavyokimbia najiikuta natumia zaidi vidole kukanyaga....ninapofika kileleni na realise kuwa nimeachama kutafuta hewa nyingi iingie kwenye mapafu yangu.....

Mama Kubwa: ???????????????????????????????????

HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA I DIDN'T KNOW KUMBEEEEE NGOJA NIUCHUNE KIMYA KIMYA:hug::focus:

SASA AKIWA BADO HAJAFIKA KILELENI MDOMO UNAKUWA WAZI AU NDIO AKIFIKA SABABU YA YA KUPANDA ULE MLIMA NDIO INABIDI AUACHE MDOMO WAZI ILI AWEZE KUPUMUA
 
Umeanza kwa kasi kweli mama Big. Siku moja Thread 3!:doh::doh::doh:
 
Try to be open, ume2mia lugha ya picha sehemu nyingi n then neno kileleni limezoeleka pachika msemo mwingne hat stendi, kichuguuni, au hata ki2oni au mwisho wa safari..

Kwani kileleni wewe umeelewa nini?
 
Jamani wanajamii ninarafiki yangu mpanzi alikuwa ananisimulia story yake:

Rafiki: Mama Kubwa mwnzio ninapoanza mazoezi huwa nakimbia mwendo mdogo mdogo na katika mazoezi hayo kuna mahali nikifika nakuta kimlima kikali sana nikifika hapo huwa naongeza speed hadi 120.......kadiri ninavyokimbia najiikuta natumia zaidi vidole kukanyaga....ninapofika kileleni na realise kuwa nimeachama kutafuta hewa nyingi iingie kwenye mapafu yangu.....

Mama Kubwa: ???????????????????????????????????

kuna kitu kinaitwa fcuk face! ndo hiyo kaka
 
Jamani mi nataka kujua kama na nyinyi huwa mnaachama pale mfikapo........

Style ya Da Sophy na DDD ni ipi tena? hebu nijuzeni mie
 
Try to be open, ume2mia lugha ya picha sehemu nyingi n then neno kileleni limezoeleka pachika msemo mwingne hat stendi, kichuguuni, au hata ki2oni au mwisho wa safari..
.............labda anaogopa BAN akiwa open zaidi.
 
Jamani mi nataka kujua kama na nyinyi huwa mnaachama pale mfikapo........

Style ya Da Sophy na DDD ni ipi tena? hebu nijuzeni mie
Ahahahahahahhhhhhaah usiogope mama big hao ni members wazuri wa hii forum na hasa jukwaa hili!!!!
 
Back
Top Bottom