jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,974
- 1,401
Inakuwaje pale dada mwembamba na anakuwa na umbile dogo pindi habatike kuolewa na kuzaa anafumuka kikweli kweli(mnene) tena usipoangalia vizuri unaweza kukataa siyo yeye.
Huwa inasababiswa na nini? na kwanini siyo mabinti wote hawanenepi hubaki na kuwa umbile lile lile dogo?
Huwa inasababiswa na nini? na kwanini siyo mabinti wote hawanenepi hubaki na kuwa umbile lile lile dogo?