Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

Jinsi wewe mwanmke au msichana utakavyo jieleza kwa mwanaume au mvulana natumaini atakuelewa.mindset inabidi zibadilike sana kwasababu ni vitu ambavyo wala hatujavizoea kwa kweli.
Cha muhumu ni kuwa mapenzi hayajali umri,lakini tuwe macho zaidi na kipindi hiki cha magonjwa mengi.
 
hahaha...uyo mbona ameshafunguliwa siku nyingi, sema naona labda amezira!
Hahaha hajazira wala kuzirai amekuja na aka nyingine hamjaishtukia? HAhahaha JF balaa
 
Hahaha hajazila wala nini amekuja na aka nyingine hamjaishtukia? HAhahaha JF balaa

Duh! Si Mchezo! Masa nenda kwenye thread yetu ya Kibaha kuna picha nimeweka pale,, kama vipi niweke zaidi kujikumbushia..'love street'
 
Kwani Prety ulikuwa unamaanisha nini ulipotumia neno kutongoza? Je ulikuwa unamaanisha kile kitendo cha mwanamke kumfuata mwanaume na kumwambia live kuwa mimi nakupenda na naomba uwe mpenzi wangu au kutongoza kwa vitendo? au zote?
 
Kama dunia yote sasa inataka usawa wa kijinsia kwenye elimu, ajira, utawala, siasa, michezo na kadhalika. Vipi iwe tatizo kwa mwanamke kuanzisha mahusiano wa kimapenzi??. Mimi nadhali hakuna ubaya wowote maadamu mahusiano hayo ni ya hiari na hayahusishwi na mwanamke kupata upendeleo fulani.
 
Kwani Prety ulikuwa unamaanisha nini ulipotumia neno kutongoza? Je ulikuwa unamaanisha kile kitendo cha mwanamke kumfuata mwanaume na kumwambia live kuwa mimi nakupenda na naomba uwe mpenzi wangu au kutongoza kwa vitendo? au zote?

Alikuwa anamaanisha hizo zote.
Niambie na mimi basi nijifariji.
 
Be fair MwanajamiiOne ina maana umemwona Fidel tu....please na mimi basi japo kihapa jamvini tu.......

Ina maana nasie kama wanawake tunaruhusiwa kutongoza zaidi ya mmoja? Lol itabidi mnipe mbinu za kuwapanga ili nisijegongesha magari lol.
 
Be fair MwanajamiiOne ina maana umemwona Fidel tu....please na mimi basi japo kihapa jamvini tu.......

hahahah I knew this was coming,,,,

Ina maana nasie kama wanawake tunaruhusiwa kutongoza zaidi ya mmoja? Lol itabidi mnipe mbinu za kuwapanga ili nisijegongesha magari lol.

hapo kwenye kupangana na kupangwa nadhani hakuna walio watalam kuliko kina dada/wanawake....au?
 
Hey wana Jf,
Katika utamaduni wetu kama waafrika/ watanzania, mwanaume ndio wa kwanza siku zote kueleza hisia zake kwa binti kama anamuhitaji kimahusiano. Hivi sasa imekuwa tofauti kidogo, kuna baadhi ya wasichana wanaanza kueleza hisia zao kwa mvulana/Mwanaume kama anampenda au anahisia nae kimapenzi. Lakini hapa nchini kwetu inaonekana kama vile msichana anayemtaka kimapenzi mwanaume ni muhuni/ mapepe/malaya, majina yote hayo anapewa. Hii tabia ya msichana kumtongoza mwanaume hapa Tanzania kwa sasa bado watu wanaona kama msichana mwenye tabia hiyo ni muhuni au malaya, imekuwa tofauti na developed country hao hii tabia ni ya kawaida tu na wal si ajabu.
Je wewe kama mwanaJF na Mtanzania unalionaje hili, je ni sawa kwa msichana kumtongoza mwanaume? Au bado tubaki na mila/utamaduni wetu wa mwanaume kumtongoza mwanamke?

Pretty:

Samahani natoka nje ya mada tu. Hivi kuna wakidada wanaobaka wanaume?
 
Ila mwanadada akikutongoza kuna satisfaction asikwambie mtu kama hujawahi kutongozwa na mwanadada basi wewe hujui nini unachokimiss.

Akina dada rukhusa kutongoza!!
 
...tangu jana nawasoma mnavyotongozwa sipati jibu,

...hivi inakuwaje weye mwanaume mzima na misharubu tele au una kipara chako kichwani mwan'dada kakuweka kwenye kumi na nane 'anakutongoza'!

...ndio kusema mzee mzima unakuwa nawe umelegeza kidevu ukijing'ata vidole na kuchuma vijani, huku dole gumba la mguu likichimbua udongo?...
 
hivi unapomega kitu si unaacha alama,je mwanamke anapomegwa kuna alama inabaki? Kama hakuna alama inayobaki basi mie nadhani neno zuri litakuwa ni kumegana. Maana kila mtu amemla mwenzio na wote wameshiba.

NI kweli lazima kuwe na alama na alama ya kumegwa ni UFA. Mtu anapomega mkate au andazi huwa kunaufa unatokea kati kati na kuacha milima miwili pande mbili na bonde kati kati. Sasa katika tendo hili nani huwa anabakiwa na ufa na milima?
 
...tangu jana nawasoma mnavyotongozwa sipati jibu,

...hivi inakuwaje weye mwanaume mzima na misharubu tele au una kipara chako kichwani mwan'dada kakuweka kwenye kumi na nane 'anakutongoza'!

...ndio kusema mzee mzima unakuwa nawe umelegeza kidevu ukijing'ata vidole na kuchuma vijani, huku dole gumba la mguu likichimbua udongo?...

Hahaha, hapo kwenye nyekundu umeniacha hoi duh!! wewe sasa unakwenda mbali.

Mimi mara yangu ya kwanza kutongozwa na mdada ilikuwa form one, unajua tena wengine tulibahatika kusoma boarding mchanganyiko na vitoto vya mataifa mbali mbali, bibie aliniandikia barua akaeleza dukuduku lake, mimi na miwazo yangu ya kimfumo dume sikuamini.

Imeshanitokea mara tatu au nne.
 
mbona hata hapa kwetu tabia hii imeshakubalika japo wale walio na umri mkubwa ndo wanakuwa wanatoa hisia zao wazi bila kuonewa jicho la kuigiza lakini tatizo lake ni moja na ninaimani linahitaji marekebisho kitabia - wenye umri mkubwa wanapo jisikia kutoa hisia zao wanaongelea kwa vitoto vidogo vyakiume! ni hayo tu mawazo yangu kwaleo
 
Pretty:

Samahani natoka nje ya mada tu. Hivi kuna wakidada wanaobaka wanaume?
Hii mpya, sidhani kama kuna dada anaweza kubaka mwanaume. Maana jinsi wanaume walivyo kuwa na nguvu hadi ufanikiwe kumbaka nadhani ni ngumu. Haya mambo ya kubaka ni ya wanaume, wanaume wengi wanabaka wanawake zao hadi kwenye ndoa zao.
 
Back
Top Bottom