Mwanamke asiyefika kileleni kuna haja gani ya kufanya mapenzi?

its not true, nimekutana na dem wa dom yaani ni mgogo na amekatwa, but you cant believe, ame cum mara 2 ndani ya 1 hour. tatizo lipo mkuu, labda aje docta humu na atuthibitishie hili

Me mwenyewe mtaalam sasa kama ukimkuta bint wa hvyo,atakuwa mgonjwa c,unajua mavyakula ye2 ya leo.
 
Mwanamke jasiri na mkamilifu, ni lazima awe muwazi na pale palipo na hisia zake, kwa kutokufanya hivyo, huyo atakuwa ni mwanamke mtumwa anayetawaliwa kimabavu, please amkeni sasa akina dada. mwambie mwenzi wako wako ukweli, akukune wapi. hakuna haja ya kutoka ukakunwe nje wakati vitendea kazi umeviacha home
 
Me mwenyewe mtaalam sasa kama ukimkuta bint wa hvyo,atakuwa mgonjwa c,unajua mavyakula ye2 ya leo.
Mkuu usiseme ukimkuta, couse wapo kibao. kama huamini nenda pale mabibo hostel na ufanye nao mazungumzo kijasusi utagundua mengi. na ndo maana nimesema mabint wa umri mdogo hawawez mambo ila wana tamaa tu
 
but, wewe unajisikiaje kama unajituma then unamaliza halafu mwenzio hajasikia kitu?. kwa mimi huwa simrudii, couse i know maana ya mapenzi ni kuoana hamu.
kwa mfano unataka ukampandishe mtu mlima kilimanjaro kama hukumpa taarifa mapema na kumuandaa vizuri kiakili unadhani atafika kileleni??...nadhani ataishia katikati coz mind yake na viungo vyake vya mwili havikujiandaa vya kutosha.
so ukimuandaa msichana vizuri hata kama ana miaka mingapi atafika tuu tena anaweza kuchojoa kabla hata hujamuingizia.....kama ana stress zake au anawaza hela tu sasa wewe ndo unatakiwa umtoe katika hayo mawazo umpeleke dunia nyingineeeeeee.
 
sijui nikueleweshe vipi uelewe. kuna wengiene wameolewa na wako ndani kwa 4 years na hawajawahi ona hiyo raha. ww uko dunia gani?
 
no. simaanishi hivo, but nataka watu wawe wawazi na huru kwa miili yao. that is my point

...umeshawasemea tayari..
hahahahaa ..ur making my day major..
At least im laughn
 
Mkuu usiseme ukimkuta, couse wapo kibao. kama huamini nenda pale mabibo hostel na ufanye nao mazungumzo kijasusi utagundua mengi. na ndo maana nimesema mabint wa umri mdogo hawawez mambo ila wana tamaa tu

... Ok !! sasa nimekuelewa.. kumbe wazungumzia mabinti wanachuo... Wako stressed sana hao ...ndo maana hawapandi mlima..

Stress zao siwezi zitaja.. ntakesha.
 
... Ok !! sasa nimekuelewa.. kumbe wazungumzia mabinti wanachuo... Wako stressed sana hao ...ndo maana hawapandi mlima..

Stress zao siwezi zitaja.. ntakesha.
utafiti wangu wangu ni mpana sana mkuu, think twic
 
bora, lakini tutakuwa hatujawatendea haki. lazima tutafute ufumbuzi couse nao wanahitaji furaha ya dunia hii.

mbona we jamaa umekomaa sana? sa kama hawafiki sibac bana. wakikua watafika tu au kuna katoto umekapanga kesho sa unataka upewe maujuzi? acha bana wakue co poa kuwananii saiv!
 
Eti chini ya 26 hawezi fika kileleni! Si kweli kabisa. Wangu nimeanza nae toka yuko 20 mpaka sasa 24 huwa anacum mpaka mara 2 wakati mie mara 1. Ni ufundi tu...
Dogo wewe bado mdogo sana maana unadai mtu wako huwa ana-cum mara 2 mbona hata wanyama km mbuzi au Bata naye anacum?
Ndio maana dada zenu wanawaita Boys mkikua mtajua tofauti ya mvulana na mwanamme

hapa tu ndo hatutaweza kuelewana kamwe na huyu mdogo wetu! wenzio tunadeal na wanaume na wanawake!
sio girl and boys!
Mwanamke huwa anafikia hatua nyingi na anaweza kukuchit lakini mm nazungumzia mwanamke mpaka a-Squirt sio kumbaka na akakudanganya amecum ukajua amefika
Ukikua utaona tofauti na hapa hatuzungumzii ni marangapi au mpaka vifike 10 ndo umemkomesha kuna mafunzo yake na mazoezi ya Kegel ndio maana nikasema hili si Jukwaa lake nenda mabo ya Kikubwa au
Hebu Google Ejaculation of Woman, au Orgasm, au Climax au Squirt

What does it mean if a girl squirts?

like did she pee?!
and what is so hot about it

Best Answer -

1 - Not all girls squirt. 2 - Most girls can.. 3 - Squirt is NOT pee. but some pee may be found in a health squirt.
.
The squirt comes from a little known gland woman have called the Skene's Gland..
During an intense orgasm, and the woman is tightening up or "bearing down" as it is called, many may discharge a clear water like fluid that resembles pee in motion. If the man's penis is in, the squirt is often choked off and she is now just - gushing - or - flowing - and the large wet spot on the bed is evidence of such.
Because of the female anatomy, her bladder and the output of it is very close to the opening and she may expel a small amount of pee during a orgasm before muscles automatically shut it off. It is just what it is. Scare a woman or tickle her hard and she can do the same. It's just how they are..

Funguka bado hujakua hayo ni mambo ya ujana ku-cum x2 wenzako tunapiga moja tu ya Kat****ro
 
tatizo wengi wao wanaanza kufanya mapenzi bila ya kujua mapenzi ni nini,kwa upande wetu wanaume wanafanya mapenzi kama fashion mtu aonaekane katembea na mademu
 
Mwanamke jasiri na mkamilifu, ni lazima awe muwazi na pale palipo na hisia zake, kwa kutokufanya hivyo, huyo atakuwa ni mwanamke mtumwa anayetawaliwa kimabavu, please amkeni sasa akina dada. mwambie mwenzi wako wako ukweli, akukune wapi. hakuna haja ya kutoka ukakunwe nje wakati vitendea kazi umeviacha home
ukimkuna vizuri huna hata haja ya kumuuliza
 
Back
Top Bottom