King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,801
Watu wanakula chakula kwa sababu mbili. Kushiba na kuenjoy. Ukila dona la maharage unashiba. Ukila nyama na ubwabwa unashiba na kuenjoy. Hata kama hafiki kileleni lakini anaweza kuenjoy. Ukiona haenjoy hamna feelings hapo. Mwanamke anaweza kuenjoy kukulalia begani usiku kucha!