Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkoani Mbeya amejikuta anaamka asubuhi huku nyeti zake zikiwa hazipo na kumfanya achanganyikiwe na kuhaha huku na huku mahospitalini bila kupata ufumbuzi. Mpaka sasa mwanamke huyo nyeti zake hazipo. Sijui ni mambo ya kishirikina?Source: wapo radio fm