Mwanamke anaweza kuwa Baraka katika maisha yako soma kisa changu

Hivi kuna watoto wakiume miaka28 bado anakaa kwao? Mtoto wakike sishangai, ila mtoto wakiume wapo kweli?😂😂😂 bora nitoke nibanane hata na masela getoni nikiwa najitafuta, Mimi nilianza kukaa na washkaji
Mm nlivoenda advance Ndo imeenda hyo nkienda nafata Hela tu
 
Wakuu kwema?

Mimi ni kijana umri wangu ni 34years niliajiriwa nikiwa na umri Wa miaka 28 baada ya kuajiriwa nikaishi home miezi 9 nikaenda kupanga ila sio mbali sana na home nikawa huru.

Nikawa ni mtu Wa mademu hivo yaani geto nilihamia na kitanda, godoro, jiko la gesi na vyombo vyote hivi nilivinunua nikiwa kwa mzee na shuka moja alinipaga sister basi nikaanza maisha.

Sasa kwa sababu nilikua ni mtu Wa wanawake kwa zaid ya miaka miwili sikuwahi kununua vitu vingine zaidi Cha zaidi nilichonunua ni mashuka mengine matatu na sabufa basi kwa miaka miwili tokea nimeajiriwa wanawake pombe ndo yakawa maisha yangu.

Mwaka Wa 2020 nilikutana na mwanamke mmoja ni mzuri sana nikamsemesha akanigomea basi nikakausha life likaendelea Mwaka 2022 nikakutana nae Tena akanikumbuka akanipa na namba ya simu.. mwisho Wa siku tukawa wapenzi.

Kisa Cha story hii kinanzia hapa. Mwanamke hyu ana akili sana akaanza kuniuliza una unakiwanja? tofauti na Kazi yako una biashara yeyote unayofanya? Nikamjibu Sina.. akaniambia una fridge? Tv, sofa, jiko nikakuambia Nina jiko tuu.. akaniuliza una mda gani kazini nikakuambia miaka zaidi ya 4 akaniambia sijitambui na akili Sina nikakausha.

Akaniambia hawezi kuja kwangu kama Sina hvo vitu Wala hatuwezi kuwa wapenzi nikasema waaah mtihani huu Maana nilikua nampenda nikakuambia nipe mda

Mafanikio yalipoanzia.

Mwezi uliofuata nikanunua mashuka mapya, Tv ya Hisense, na sounds bar, Mwezi uliofuata nikanunua fridge, na sofa Mwezi uliofuata nikanunua show case, na kabati la nguo na kingamuzi Cha Azam.

Nikaanza kupunguza mademu na pombe taratibu.. nikafungua biashara ya kuuza boxer za kiume, na vest nikawa napata hela biashara ikaanza kuchanganya faida ikawa ni kubwa nikanunua piki piki hapo nipo na Dem sijawahi hata mgusa na kwangu hajawahi fika kasema mpaka nikamilishe hvo vitu.. nikakuambia vitu vya ndani tayari ninavyo akaniambia fridge na Tv ndo unajiona ume win daah.. nikawa naka kimya

Job mshikaji wangu akaniambia kuna viwanja vipo kibaha mile moja twende tuka icheki tukaenda tukanunua kiwanja Mimi na mshikaji wangu..

Nikakuambia kuwa tayari Nina kiwanja na piki piki akafurahi saana ndo akaja kwangu Mwaka Jana mwishoni Mungu akitujalia Mwaka huu tunaanza ujenzi.

Asante Mungu kwa,kunikutanisha na huyu mwanamke.
Somo Vijana tuoe tuwapende wake zetu
unatumikishwa na demu aiseee
 
Cha kusubiri hapo ni KUTOMBEW(A) tuuu..!!!

#YNWA
 
Back
Top Bottom