Mwanamke anamjua vipi aliyempa mimba ikiwa alitembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja?

Issue Iko hivi, ikiwa kama kwenye zile siku za hatari alisex nanyi wote. Hapo hatokuwa na ujanja zaidi ya kumbambikia mmoja..inakuwa rahisi kama zile siku alisex na fulani ,hapo ndio atajua.

Cha msingi wanaume kuweni makini na siku za michepuko. Akikuambia anayo ukae chini upige hesabu.
 
Tayari nimeshabambikiwa sasa ngoja nitafute Panga Lililonolewa vyema niwasake Waliosahaulika Kubambikiwa wakati Washiriki wa Mchezo tulikuwa Watatu.
 
Hawa wanawake wabambikaji wana ujasiri balaa, hawajali kwamba mtoto lazima afanane na wazazi au ndugu zake hata kabla hatujapima group la damu na DNA......
 
Kumbe Mwanamke anaweza Kutupanga Mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa Siku Moja (kama ya leo Ijumaa) na Wote 'tukamkaza" kwa Ratiba aliyotuwekea kutokana na Uhuni wetu, ila Yule atakayempa Mimba (Kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea.

Ninaombeni Elimu juu ya hili Wadau.
Wanawake wako emotional superior than wanaume.
Wanaume tuna mbinu, wanawake wana mitego, unaweza kudhani huyu mwanamke umempata kwa mbinu zako za medani, kumbe umetegwa kifala tu.

Pia mwanamke ameumbwa ku perform multi tasks, ndio maana unakuta huju ananyonyesha mtoto, wakati huohuo anapika, huku akiongea na simu.

Heshima kwako ndugu yangu mpendwa sana Skylar, cacico, Kasie, Evelyn Salt na mwanamke uliyezaliwa ili hela zikufuate ulipo Miss Natafuta
 
Kama wamempanda wote watatu katika siku ya Ovulation, ni wazi hawezi kujua Nani aliyempa mimba.

Wanawake ni watu wa pretending, drama, maigizo na unafiki. Kamwe usiwaamini hasa wakitoa machozi ndio Kabisa zidisha umakini.

Mimba kutunga kuna Factor nyingi za muhimu zaidi ya Ovulation yenyewe,

Kusingiziwa mtoto ni kuamua tuu.
 
Wanawake wako emotional superior than wanaume.
Wanaume tuna mbinu, wanawake wana mitego, unaweza kudhani huyu mwanamke umempata kwa mbinu zako za medani, kumbe umetegwa kifala tu.

Pia mwanamke ameumbwa ku perform multi tasks, ndio maana unakuta huju ananyonyesha mtoto, wakati huohuo anapika, huku akiongea na simu.

Heshima kwako ndugu yangu mpendwa sana Skylar, cacico, Kasie, Evelyn Salt na mwanamke uliyezaliwa ili hela zikufuate ulipo Miss Natafuta
Tukutane New Corner Bar Mbezi Beach Weekend hii. Halafu kwanini 'Umeniua' kwa Baamedi wa Kimbulu Mrembo kuliko Wote ili umpate Wewe?

Umeona Baamedi wako wa zamani amerejea Sinde Pub Kijiwe chako Tukuka?

Sasa nakuomba Wewe Dili na yule Mmbulu na huyu niachie Mimi kwani ana yale Makalio makubwa ( Inye ) ninayoyapenda na ndiyo Ugonjwa wangu.
 
Jan usku naambiwa na mchepuko wangu kabila mzaramo eti mimba imaaribika alfu iliykuwa yangu mm ,nikamuuliza swali la hyo mimba Ina miezi mingapi hakakosa jibu Kisha nikamuuliza Tena ulishakwenda cliniki akajibu hapana Ila akasema ndio alikuwa anajipang kwendaa

Bladfkeni nikakata simu nikalaa zangu kapiga missed call 3 mfulilizo sijapokeaa mshenzi kbsa
 
Jitahidi upite nae Mlango wa Kusi usiotakiwa kisha umuache mazima Mkuu sawa? Dawa yao ndiyo hiyo tu hakuna namna.
 
Mimi simu yangu aioneshi picha vizuri ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huru.
 
Back
Top Bottom