Spinster
Wakuu,
Tupo sehemu tunabishana na wadau. Mwanamke aliyefiwa na mumewe huwa anaitwa Mjane, vipi mwanaume akifiwa na mke anaitwaje?
Kuna sehemu nilisema anaitwa mgane wakasema siyo kweli kuwa kunajinalake!
Waswahili mnisaidie tafadhali

mkuu Ruttashobolwa wanaume waliofiwa na wake zao kiswahili sanifu ni "wasaruku"nimesoma michango yote hujapata jibu.Wakuu,
Tupo sehemu tunabishana na wadau. Mwanamke aliyefiwa na mumewe huwa anaitwa Mjane, vipi mwanaume akifiwa na mke anaitwaje?
Kuna sehemu nilisema anaitwa mgane wakasema siyo kweli kuwa kunajinalake!
Waswahili mnisaidie tafadhali
anaitwa Mgane.ni kiswahili sahihi