Mwanamke akijua wewe ndiyo wake wa maisha, hakupi papuchi. Mwenye hela barafu ya shida za moto

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Habari,

Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate.

Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina hadi kubusiana na wanaume wenzako mbele yake. Ukikata tamaa ndo basi.

Unashangaa anakuja jamaa na hela zake anachakata baada ya siku moja. Wanawake wanajua anaye wapenda na asiye wapenda. Unakuta ana shida zake za kodi na chupi za kuvaa, anaamua amkubali mwenye hela ili ajinasue kwenye matatizo yanayomsibu na kujijengea jina kwa marafiki wamuona ana mtu wa maana. Ndo maana hata akichwa hababaiki.

Mwanamke ukiensa na hela anazila na unachakata, mwisho wa siku anaolewa na mtu wa kawaida.

Mwanaume ukiwa mwanamke mzuri anakupa itakacho mwisho wa siku anaoa Polygon. Mara nyingi wanawake wanaojifanya wazuri, tunawafanya nyumba ndogo nani awaoe. Ukiwa Mgumu tunakuvalisha pete, tunakuzalisha, tunakifanya nyumba ndogo then tunakata mawasiliano kodi ikiisha. Utashinda kwa Mwamposa na kuhama makanisa na misikiti.

Kila ukilewa utakuwa unasema wanaume wote ni mbwa🤣🤣🤣

Screenshot_20220802-231640.png
 
View attachment 2312458

Semaji kwenye ubora wako
 
We mtoto boya sana. Yaani umewekwa friend zone alafu unajisifia....? Hujui kama hilo ni tatizo.....? Bado unasafari ndefu sana
Zamani Jamiiforums, wageni walikuwa wanawaheshimu waliowakuta, siku hizi watu kutukana wanaona ndo uhuru wa kujieleza. Hizi ni dalili za Malezi na makuzi mabaya
 
Watu wanoaa visuu na life goes on..hakuna real justification ya kipi ni kipi
 
Uwe na hela, usiwe na hela, kama unajua kucheza karata zako vizuri mbususu utachakata tuu. Sema kwenye kuoa hiyo ni ishu nyingine kabisa.
 
Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate.
Daah. Umenikumbusha juu ya yule mrembo wa chuo kikuu, aliyekula hela zangu nikaishia patupu!
Yule binti mweusi tii, mtt wa Kihaya anayefanana na waganda tulikutana kwenye mkahawa mmoja kwa ajili ya kupata kifungua kinywa jijini Daresa laam.
Wakati naenda kuosha mikono, naye akaja kuosha mikono yake, so tukakutana kwenye koki.
Kama rijali nikajiongeza kwa kusema, 'this is no coincidence. Huyu chombo atakuwa keshafagilia flag'.
Bac, mahusiano ndio yakaanzia hapo.
Mpaka dk hii ndugu mtangazaji, mtaji wangu wa Paap chi umezama kwa huyu binti ila nimeambulia patupu.
Huyu ndiye yule mrembo niliyemuhonga smart phone nikabakiwa na kitochi hadi nikaja kuwaaga hapa jukwaani kuwa nitakuwa sipatikani hewani kwa muda!
Usinilaumu ndg mtangazaji, huyu ni mwanamke mrembo kabisa mwenye rangi nyeusi tii, niliye wahi kumuona maishani mwangu, yani kama Mungu angemjalia rangi tofauti na hiyo aliyokuwa nayo, basi angekuwa malaika!
Na kwa vile shangazi yangu alitaka nimletee mwanamke wa kabila letu, nikawa sina budi kujiongeza...
Screenshot_20220803-174918-2.jpg
 
Back
Top Bottom