MwanaHALISI LIMECHAKACHULIWA HABARI YA DR.SLAA!?

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu; Binafsi ni mpenzi sana wa gazeti MwanaHALISI, katika toleo no236 Jumatano, Aprili 6-12. Kuna title kubwa inasema. DR. SLAA: KIKWETE AHADAA WANANCHI.
Na Sub title
> Marando: Muswad umewaziba mdomo.
>KISUMO: Tunataka katiba inayokidhi. Imeandikwa habari kamili uk wa2. Ok nimefunua ukurasa wa2 hakuna mpk uk20, hii habari ipo uk gani? Vipi kuna uchakachuzi? Nani kachakachua na kufisadi MwanaHALISI!??

Nimekosa comment za Dr wa ukweli `n` my president on constutition isues
 
hili neno kuchakachua halina maana tena

linatumika ovyo ovyo....
 
Hawa jamaa hawako makini na kazi yao wamerudia habari mara mbili vichwa viwili vya habari lakini habari moja hawana mapya ndo maana kila siku wanaandika mambo yaleyale sijui richmond,kakola ,tualaka.nimeshalikinai jana ndo mara YA mwisho kulinunua gazeti la kurudia issue kama gonjera linaboa sana
 
nunua UHURU, Al-nnur na Mzalendo wanaorudia kila siku habari zile zile unazozipenda CDM wanaleta vurugu, CDM chama cha udini nk
 
TATIZO LETU NI KUTEGEMEA MAGAZETI! NA MAGAZETI YENYEWE NI YA HAWA WAGANGA NJAA!! SIONI AJABU HABARI KUKOSEKANA KWA SABABU WAO WANAJUA WATANZANIA HUWA WANASOMA VICHWA VYA HABARI NA SI HABARI ZENYEWE!! WAO WENYE MAGAZETI HUUZA MAGAZETI YAO KWA KUTEGEMEA VICHWA VYA HABARI!

Hii ndio BONGO mazee...
 
Sio kuchakachua hawako makini, mpaka gazeti linatoka hawajaona hilo kweli hayo ni mapungufu makubwa.
 
Back
Top Bottom