Mwanahalisi lafilisika?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
266
Gazeti huru la upingaji ufisadi Nchini sasa inaonekana linazama hasa baada ya siku hizi silisikii katika kipindi cha magazeti kama Vile Leo Redio I , Redio Free na hata Zenj fM, lakn hata ile website yao www.halihalisi.co.tz haiweki matoleo tena ya gazeti lao, nasema imekufa, Blog ya Kubenea nayo imelala fofo siku nyingi sasa, jee hii ni dalili kwamba kifo Cha mwanahalisi kinayemelea?
 
mkuu sidhani kama itakuwa hiyo ni sababu kwani kinacho angaliwa ni je uzalishaji umefanyika i.e toleo lipo mtaani
 
mzee wa hoja za kijinga tupumzishe na upumbavu bana.aaggggghhhhhhrrrrrr!!!!!!!!!!
 
Wewe mzee wa hoja ( Am doubting), mbona leo mwanahalisi liko mitaani, we kama huna pesa ya kununua gazeti na huwa unavizia kusikia toka redioni umeliwa! aaah! no UMEFULIA!
 
Wewe mzee wa hoja ( Am doubting), mbona leo mwanahalisi liko mitaani, we kama huna pesa ya kununua gazeti na huwa unavizia kusikia toka redioni umeliwa! aaah! no UMEFULIA!

huyo jamaa kaliwa nini?, maana hizo ndo tunaziita lugha tata!
 
vp mzee wa hoja? Kumbe ukishasikia headlines za magazeti kwenye redio stations tu we kwako ni kama kusoma habari nzima!!

Kweli ukitaka kuwaficha kitu watanzania basi kiweke kwenye vitabu!!

Unashangaza kujiita mzee wa hoja huku ukisoma vichwa vya habari vya ukurasa wa mbele pekee!! Hustahili hata kuwemo humu jamvini!!
 
Inawezekana pia kwamba mafisadi wanawahonga wamiliki/wahariri ya vituo hivyo vya redio nk ili wasisome gazeti hilo hewani. Hili linawezekana kabisa.

Aidha siku hizi Channel Ten inayomilikiwa na mafisadi haisomi gazeti hilo, pamoja na yale ya IPP media.

Mwanahalisi halijafilisika -- sasa hivi linachapisha nakala nyingi kuliko gazeti lolote lingine hapa Tanzania, ukiacha yale ya udaku.

Ninavyoelezwa sasa hivi lina ofisi za kisasa kabisa kuliko newsroom nyingi tu zile tuzijuazo na liko mbioni kuanzisha magazeti mengine -- hasa la weekend.

KEEP IT UP MWANAHALISI AND YOUR TEAM!!!!
 
Hizi ni mbinu chafu tu za baadhi ya watu, hasa hawa tunaowaita Mafisadi kutumia maredio na vituo vya television kwa ajili ya kuwakomoa wachache.
Gazeti la mwanahalisi halijafilisika, lipo na litaendelea kuwepo.
Kubenea tunakutakia mema katika janga hili la kupambana na hawa Mafisadi.
KEEP IT UP!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni dalili za mafisadi na wadhalimu wengine wachache dhidi ya raia wa nchi kuliogopa gazeti hilo -- gazeti shujaa nchi hii haijapata kuwa nalo tangu gazeti la Family Mirror mwanzoni mwa miaka ya 90.

KEEP IT UP KUBENEA!!!!!!!! WE ARE ALL BEHIND YOU!!!!!!!
 
Huwa restless hadi Jumatano iwadie na ninapofika newsstand gazeti ninalolinunua na Mwanahalisi tu.

Inasemekana kuna baadhi ya vigogo serikalini na ktk chama tawala hawapati usingizi sawsawa usiku wa jumanne/Jumatano, na wakilipata gazeti kama tuhuma zao hazimo basi hufungua chupa ya champagne?
 
Nami nimestuka sana maana last week nimelinunua nikaona hee mbona ghafla...live long mwanahalisi...
 
Kubenea can always go back kulima kijijini kwao kule Baleni, after all kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu
 
Last edited:
Ni dalili za mafisadi na wadhalimu wengine wachache dhidi ya raia wa nchi kuliogopa gazeti hilo -- gazeti shujaa nchi hii haijapata kuwa nalo tangu gazeti la Family Mirror mwanzoni mwa miaka ya 90.

KEEP IT UP KUBENEA!!!!!!!! WE ARE ALL BEHIND YOU!!!!!!!

"Motomoto" bana...
 
Kwa mwanahalisi, mafisadi ni wengine wote isipokuwa Kikwete! na ndio maana linatamba!

Kubenea vipi hili unalo wadanganye hao hao hilo gazeti la mkulu hili watu wanajua,wadanganye wanaokuaona shujaa!

Na kuelekea uchaguzi habari yeyote ile ya kumsifia Kikwete nita-ispot!
 
gazeti huru la upingaji ufisadi nchini sasa inaonekana linazama hasa baada ya siku hizi silisikii katika kipindi cha magazeti kama vile leo redio i , redio free na hata zenj fm, lakn hata ile website yao www.halihalisi.co.tz haiweki matoleo tena ya gazeti lao, nasema imekufa, blog ya kubenea nayo imelala fofo siku nyingi sasa, jee hii ni dalili kwamba kifo cha mwanahalisi kinayemelea?

usikurupuke kutoa conclusion, gazeti hili halijafilisika lipo na jana limetoka na mimi nimelipata ukitaka nakala nitumie pm halafu naweza kukutumia kwa dhl
 
Back
Top Bottom