MwanaAPOLLO Mwakyembe Akipozi na Madaktari: Hali yake ni nzuri

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kwa hisani ya Misupu
DSC_7029.JPG
 
si kule kuna wanaapollo wetu wawili?vipi afya ya mwanaapollo mwenzake mwando?afya ya mwando inaendeleaje?nawatakia wapone halaka.mia
 
Vipi kuhusu Prof. wa ukweli anaendeleaje na afya yake. Wenye taarifa tafadhali watujuze.
 
Unakuja lini utuambie yaliyokukuta???
Ukumbuke huwezi kula na wezi alafu baadae unaenda kuwasema ati wao ndo wanakula vya wizi......
Bora uchukue hatua mapemaaaaa maana umenusurika!
Ukiendelea kunyamaza nadhani wakati mwingine watakunyamazisha kabisaaa labda ukaongelee kwa Mungu kama utafika!!
 
Back
Top Bottom