Mwana mfalme wa Bahrain ailaani (condemn) hamas na unyama waliofanya october 7th

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Haijalishi wewe ni muislam au lah lakini kama una akili za kutosha hauwezi furahia unyama walioufanya hamas. Jana tu tumepokea taarifa dogo wetu mtanzania ni kwamba hayupo tena na sisi.

Huyu prince ni mmoja wa waislam wachache ambao wamejitokeza kukiri ujinga wa hamas wengine wanajifanya itikadi kali, okey sawa.


View: https://youtu.be/RMtJIjUMR68?si=OxW4TMcAPSrL44cY

Screenshot_20231119_173101_X.jpg
 
Uislamu hauna idol wala mtakatifu ,kama kama kalaani ni yeye usilazimishe ...Sio nyie yule papa akisema basi mnafuata ...

Tamko ni lake maana kila mtu anatumia akil zake.
Hapo Pope Kaingiaje Sasa...?

Hoja ni Mwanamfalme Kuwalaumu Hamas....

Sasa huyo Baba Uliyemtaja Kafanyaje tena...?

Mbona Unataka Kulifanya Jambo Liwe Mtambuka..?
 
Yeye ni nani kwenye uislam, hata mnajaji waislam wote duniani, huyo ni kama watu wengine kwa jina zuri ni mnafiki tu.
 
Kinachotokea Palestine hakina utofauti yoy ote na vita vya ukombozi.
Kwa hiyo vita ya ukombozi inafanywa bila kutumia akili!?

Huwezi kuona tembo wameingia kwenye shamba lako ukachukua fimbo kwenda kuwachapa kisa tu unajua kukimbia bila kujali una familia wasiojiweza.
Huo ni ujuha.
 
Hapo Pope Kaingiaje Sasa...?

Hoja ni Mwanamfalme Kuwalaumu Hamas....

Sasa huyo Baba Uliyemtaja Kafanyaje tena...?

Mbona Unataka Kulifanya Jambo Liwe Mtambuka..?
Hakuna matamko ya mtu yupo sawa kwa upande wake.

Kama papa karuhusu ushoga kama mawazo yake wewe utakubali kuwa shoga?
 
Hawa wapalestina wamekuwa wakiishii chini ukoloni wa israel kwa zaidi ya miaka 70. Watu kama nyie wenye akili fupi mnataka kuonyesha kwamba hamas walianzisha vita October 7. Ingekuwa Hawa ni wapiginia ukoloni kama ZANUPF, ANC, MAUMAU au UNITA Leo nchi Nzima ingekuwa inawaombea kwa sababu ni watu weusi. Kinachotokea Palestine hakina utofauti yoy ote na vita vya ukombozi. Sisi watu weusi tulivyokuwa wajinga na mambumbu badala angalua kupiga kelele vita visimame hata kama huwa pendi Palestine kwa sabubu ya damu inamwagika, tumebaki kushangilia wauwawe tu. Yani kwasababu sio mtu mweusi akifa haina shida. Kaa Chini jitafakari kama wewe sio mnyama wa porini Anaye fanania binadamu. Initia aibu na kuuzinisha mtu mweusi baado nyuma kiakili na kifikira
israel sio wavamizi wa ardhi ya palestina usilinganishe na wakoloni walioivamia Afrika
 
Genocide is genocide Hamas started the genocide so they ought to live by.
 
Back
Top Bottom