Mwamdishi wa passport

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Wakuu hivi yule mwandishi mashuhuri wa pass za kusafiria za miaka ile ya nyuma kabla ya hii technolojia ya kuandikia computer haijafungwa pale uhamiaji yuko wapi??
Nilikuwa napitia passport za wazee wangu hapa hizi hati zinavyofanana hadi nukta??
 
Dah kwenye Title nimeona Mwamdishi kumbe mwandishi......
Sina kitu hapa mkuu
 
Hakuwa mmoja kama sikoei kulikuwa na kanda kwa hiyo ni zaidi ya mmoja.
 
Walifundishwa kuandika miandiko mizuri. Mimi namfahamu mmoja ambaye aliandika passport inayonihusu 1982!!
 
Back
Top Bottom