VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Ukweli ni kwamba Ujamaa doesnt work..., lakini mimi na wewe tunajua hayo because of hindsight, baada ya kuona from history, na ujamaa haufanyi kazi sio sababu ya utekelezaji, bali ni sababu binadamu ni wachoyo na tuna ubinafsi, hatukuwezi kuishi wote sawa na kugawana mali kwa usawa, umimi ni mwingi kwahiyo hata King Solomon angekuwa ndio kiongozi sidhani kama anaweza akafanya Ujamaa a Success..,Vijiji vya ujamaa ilikuwa ni flawed concept yaani kumtoa mtu kwenye shamba lake la mamia ya hectares kumpeleka kwenye kajishamba cha hecta mbili ili mradi tu uweze kumletea huduma ambazo afterall hazikufika! ukisahau uzalishaji utapungua vp? hivi economist wake alikuwa nani?
Kuhusu kuwaweka watu pamoja na kuweletea huduma haikuwa flawed.., kama ingetekelezwa it was a good idea..., hii nchi ni kubwa wasambaze watu nchi nzima wapelekee huduma zote muhimu ili tuondoe Ujinga, na Umaskini... After All Umoja ni Nguvu Utengano ni Dhaifu..... (If only it can work)