Mwalimu Nyerere akifufuka leo atasemaje? Ahadi imetimia

<a href="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/attachment.php?attachmentid=31123&amp;d=1277278595" target="_blank"><img src="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/attachment.php?attachmentid=31123&amp;d=1277278595" border="0" alt="" /></a>
<br />
<br />
ANGEANZA NA YULE WA MATRILION ATURUDISHIE CHETU UPESI
 
wakwanza kucharazwa viboko angekua mkuu wa kaya na angecharazwa kwelikweli ktkn na upupu wk anaofanya akishirikiana na mwanae riz1 kutafuna hela za watz na kuchekacheka hovyo, wa pili angekua mwana wa mkulima huyu angepigwa mijeledi sbb anakaz ya kulialia hovyo bdl ya kuwaongoza wenzie, 3 angekuwa ngeleja na wengn wote
 
sio kweli wakwanza angeanza na sie kwa kushindwa kumthibiti rais na kukubali kuongozwa na wafanya biashara
 
Nahisi viongozi wote hakuna atakaye baki hapa TZ watakimbilia aliko rostam wote
 
Haya bana, mimi ntakua nashangila kwa sana kila anaye kula bakola ili akamuonyeshe mkewe!
 
Katika kipindi cha Hoja ya leo (radio one) mjadala ulikuwa maadili ya uongozi. Ananilea Nkya amesema kama mwalimu akifufuka leo kama ataamua kuadhibu watu wasio na maadili ataanza na wapiga kura. Kosa lao ni kuchagua viongozi wabovu kwa kukubali kuhongwa vitu kama khanga, sabuni, soda, n.k. Je wewe unadhani tuelekeapo maadhimisho ya mtoto Tanganyika (japo wazazi wanaona aibu kulitaja jina hilo), nani anastahili kuchapwa viboko kwanza kwa kutufikisha hapa tulipo.
 
Ananilea anaamini katika kufufuka wafu? wachawi wengine bana!

Hafufuki kwahiyo hakuna issue hapo period..anaoza kwenye vumbi
 
Huyu mdada kaishiwa hioja!.. huwezi kuzungumzia ya Marehemu kama vile alikuwa na uungu wa kufufuka ama kuadhibu watu. Makosa aliyafanya yeye mwenyewe Nyerere kwa kutuachia viongozi wahuni toka Mwinyi na Mkapa.. Kama bakora angezipiga akiwa hai!
 
Ananilea anaamini katika kufufuka wafu? wachawi wengine bana!

Hafufuki kwahiyo hakuna issue hapo period..anaoza kwenye vumbi
Topical, umeliona neno "kama?" linasaidia kubungua bongo kwa kurudi nyuma (flash back) na kwenda mbele nyakati tulizopo ili tutafakari kwa kina.
 
Aanze yeye nkya manake hafanyi kazi za uzalishaji anaishi kwa longo longo na kuchochea wananchi na kuwapumbaza wasihoji ni kiasi cha fedha kinachopotelea kwa ngo's.
Pili atajichapa mwenyewe kwa kujijengea sifa mwenyewe na kusahau nchi na wananchi mpaka kusahau kujiendeleza wao binafsi na kung'ang'ania kuomboleza kila mwaka wakati msiba unamwisho.
 
Topical, umeliona neno "kama?" linasaidia kubungua bongo kwa kurudi nyuma (flash back) na kwenda mbele nyakati tulizopo ili tutafakari kwa kina.

Haisaidii kitu

Hafufuki period, yeye kama anaamini nyerere kufufuka kwakuwa ni mtakatifu akaimbe kwaya hukohuko..oops
 
Huyu dada si alisema ndio ataongoza maandamano ya kupinga malipo ya dowans? Tunamtakia kila la kheri ila nilishamuona ni mchemkaji tangu alipotamka ati mashoga, na wasagaji watengwe nchini. Nikajiuliza huyu dada vp akiulizwa na mashoga na wasagaji wao ni kina nani tanzania atawajibu nini? Nimegundua yuko sawa sawa na yule aliyesema kuwa Lowassa ni mwanaume wa shoka!!!! They say what they mean and not mean what they say crap!!!!!
 
Sitaki kuamini humu Jf kuna watu wenye akili za kunguni yaani Mmeanza kumbeza Mama Nkya"Kweli Ccm mnatumia pesa nyingi sana.
 
Angeaza na Rais anayeuza sura nje,pia na watu wnaojidai great thinkers kumbe vilaza tu kama Tropical,Mwita25,Faizafoxy,Salmia wanaokubali kutumika bila kujijua.
 
Haisaidii kitu

Hafufuki period, yeye kama anaamini nyerere kufufuka kwakuwa ni mtakatifu akaimbe kwaya hukohuko..oops

Siko pamoja na wewe hapa!!! Wapo watu wanastahili kuchapwa viboko tukianza na Kingunge, Mkapa na Msekwa!!!! Hawa watu ni wanafiki waliopitiliza!!!!

Tiba
 
Hay yaliyosemwa na mama huyo n i lugha ya kawaida ya kitanzania inayotumika toka siku nyingi ikitamkwa na mhusika kusisitiza kuhusu tukio au jambo lilotendwa na mhusika au wahusika kuwa si jema kiasi kuwa marehumu mtajwa angekuwepo hai hakika angepambana na mhusika kwa hasira kubwa sana, hiyo ndio maana ya kutamka hayo aliyotamka mama huyo.
 
Hapana mkuu wangu haya ni makosa.. Nchi hii sii ya Nyerere wala hakuwa na mamlaka ya kuwaadhibu viongozi au watu wanaokosea..Hii ni akili ya kitumwa, tegemezi na kuonyesha ufinyu wa watu wengine wote ktk kufikia maamuzi isipokuwa marehemu.

Misemo hii ipo sana tu kama tuna watu wanaohusika direct na mtajwa ambaye ana nguvu za ajabu. Nyerere alishindwa kutuachia urithi wetu kwa watu wanaoaminika na alikuwepo wakati Azimio la Zanzibar likiundwa, alikuwepo wakati wa mageuzi ya kisiasa, kiuchumi na hata kupoteza dira ya Taifa, alikuwa hai bado na hakufanya lolote kwa sababu alikwisha jivua mamlaka ambayo leo mnataka kumpa mfu. Na tuheshimu maamuzi yake na kuyaenzi badala ya kuunda fikra za kisinema akiwa kaburini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom