Mwalimu Mwakasege: Watu wasiokubalika kwa Mungu na kwa Wanadamu ndio hutoa Rushwa kununua " kukubaliwa"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,028
Akihubiri kwenye mkutano wa Injili Kawe jijini DSM Mwalimu Mwakasege amewataka Wakristo Watafute KIBALI kwa Mungu wa Mbinguni siyo kwa Wanadamu

Mwakasege amesema Mungu wa Mbinguni akikupa KIBALI automatically unakubalika kwa Wanadamu

Ukiona Mtu anatoa Rushwa ujue Mtu huyo hana KIBALI cha Mungu wa Mbinguni na ni wa kumuogopa, amesisitiza Mwalimu Mwakasege

Source: Upendo TV
 
Hili Dongo limetua pale Magogoni.
 
Back
Top Bottom