Mwalimu atuhumiwa kulawati watoto kwa miaka 20

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,933
32,342
Mwalimu anayetuhumiwa kulawiti wanafunzi wa kiume katika shule ya msingi Kwamaksau, katika kijiji cha Mengeni chini, Wilaya Rombo alianza unyama huo miaka 20 iliyopita, imeelezwa.
Uchunguzi wa MWANANCHI umebaini kuwa mwalimu hiyu. (jina limeifadhiwa) alianza tabia hiyo Oktoba 31 mwaka 1991 baada ya kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa darasa la tatu ambaye wakati huo alikuwa na umri wa miaka 13.
Katika kipindi hicho cha miaka 20, mwalimu huyo anadaiwa kuwalawiti wanafunzi 10 wenye umri wa kati ya miaka 12 na 15 katika shule nne tofauti alizowahi kufundisha.
Habari zilisema mwanafunzi mmoja aliyefanyiwa ufedhuli huo mwaka 1997, aliamua kujiua kwa kunywa sumu na kwamba hatua hiyo ilikuja baada ya kubaini kuwa wenzake waligundua kuhusu kutendewa kitendo hicho.
SOURCE: MWANANCHI AGOSTI 15 2011
 
sijui kwa nini nimeisoma hii post kwani inauma sana

Hapa pana imani ya kishirikana si bure
 
Dawa ya mtu kama huyu kupiga risasi za kichwa kama kumi
 
Siku hizi wachaga wanakuja juu! Kwanza yule Padre alilawiti mtoto na kumnyoga uume mpaka kutoa damu........
Pili huyu mwalimu, Moshi kunani?
 
Back
Top Bottom