MWALIKO KWENYE MAKAMBI

Kwa hivyo mnawafundisha kuitii Mamlaka ya Bwana pekee ya Duniani haitakiwi kuheshimiwa? kama ni hivyo sasa naelewa uharibifu wa tabia yao unatokea huko.
Teh...kuna sister yangu alikuwa na kidada cha kazi kisabato kilikuwa na kiburi balaaa hadi akakitimua
 
Mimi ningehudhuria lakini sitahudhuria kwa sababu hao wenzetu wanajiona superior kuliko wengine.
 
Teh...kuna sister yangu alikuwa na kidada cha kazi kisabato kilikuwa na kiburi balaaa hadi akakitimua
Wabongo bana wanashangaza sana, unakuta anaenda dukani anauliza, "samahani" kaka una mchele? "naomba" kilo mbili
Uelewa ni kufahamu kuwa lugha ni uungwana sio ugomvi kiswahili ni lugha ya ukalimu na upendo kila lugha ndivyo ilivyo ndio asili ya ubinadamu
 
Teh...kuna sister yangu alikuwa na kidada cha kazi kisabato kilikuwa na kiburi balaaa hadi akakitimua
Mie mwenyewe nimemtimua Jumamosi, wiki nzima anafunga nyumba anaishia Makambi kurudi giza, hakuna kuaga wala kushuka ni kama vile amepanga kwa Mwarabu. Jumamosi karudi kiburi kama pepo nikamtimulia mbali. Hata mimi nimeajiriwa na ninaheshimu mamlaka zilizo juu yangu duniani.
 
Hapana Dini yenye chuki na Dini nyingine kujiona wanastahili wenyewe.Sipendi kusikia chochote kutoka kwao.
N:B MUNGU ni Upendo
Wala hawana chuki , Bali hueleza ukweli na siku zote ukweli huwa no mchungu sana. Pole
 
Samahani sana umenikumbusha nilikuwa na mtu wangu yupo kurasini SDA alikuwa anapenda sana makambi kuna siku kaniambia twende anagalau usikilize ata kidogo kumbe anaimba kwaya akani surprise
This time uende ukam_surprise na wewe, awepo asiwepo ufike tu ili uikumbuke siku aliyokufanyia surp.
 
Kwa hivyo mnawafundisha kuitii Mamlaka ya Bwana pekee ya Duniani haitakiwi kuheshimiwa? kama ni hivyo sasa naelewa uharibifu wa tabia yao unatokea huko.
Mara nyingine kuwa na akili, sina hakika kama kuna dini inafundisha waumini wake kutokutii, hayo mengine huwa ni Utashi wa mtu binafsi ila kwa sababu ni wa Mrengo fulani wa kidini au kivyovyote vile basi atahusishwa moja kwa moja na kule anakokwenda kusali ama kazini.
 
Makambi faida yake ni kuleta umoja tu kati ya washiriki, zaidi ya hapo ni miradi ya upigaji kwa wachungaji, mchungaji anademand alale hotel ya 70000 per day wakati anashinikiza washiriki wakambike na mahema, ukimwambia yeye alale kwenye mahema anaruka mita 200....
Mbinguni mbali sana
mkuu usiwaseme vibaya makuhani
 
mtaa wangu wa kihonda yanaanza tarehe 21 mwezi huu tutakuwa na kwaya ya sauti ya jangwani wzee wa magobole kutoka shinyanga na pr mlozi na pr singo karibuni sana
 
Back
Top Bottom