Hakuna tofauti na ziara za Jakaya Kwenye ofisi za wizara. Matatizo ya hizo treni yako kwenye ofisi huku makao makuu, muache atafute cheap popularity, atapoteza vyote viwili, mtoto na mbeleko.
urais unatafutwa kwa nguvu zote!
Mkuu Sweke, wengine miili yao haiwezi kuhimili dozi hiyo.Hii sumu aliyolishwa Mwakyembe inaelekea ni nzuri sana...inabidi na mawaziri wote wapewe dozi ili uzalendo urudi...!
It's okay kama hicho kitendo chake cha kupanda train kitaleta mabadiliko chanya kwenye huduma ya reli Tzii...imagine mawaziri wote wangekuwa wanatafuta sifa kama mwakyembe/magufuli kwa kufuatilia malengo yote ya wizara yaliyowekwa!? si tungepiga ka hatua hata nusu? hata kama anatafuta sifa, end product ikiwa chanya who cares about masifa?Hapa ni uraisi unatafutwa hakuna kingine, wanao mfahamu mwakyembe hawashangai ila waio mjua watashangaa sana, HUYU JAMAA NI ZAIDI YA SITA KATIA KUTAFUTA SIFA,
Tatizo si kupanda tren kwa sababu hata Yule Raisi wa Korea kaskazini mpaka mautu yanamkuta alikuwa kwenye tren ya nch yake,
JE KUPANDA KUTAFUFUA TREN? JE KUTAFUFUA RELI YA TANGA ARUSHA?
According to Clouds FM,
Dr Harrison Mwakyembe amefanya supprise visit na kusafiri kwa treni kutoka Dar kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge. Mud si mrefu tutafahamu alichokusudia kufanya hiyo suprise.
Ndo hivyo mkuu ili tupate jibu ambalo litakuwa halina ukakasi....hahahahaaa,,,,thwali ghumu hilli?????