Mwaka wakwanza chuo mchumba simuelewi anataka IPHONE

Girl:bby..
Boy: yec bby..
Girl: Hii simuu..
Boy: Imefanyajee?
Girl: Inazinguaa..
Boy: ina nn?
Girl: asa kila siku wananiona na
hiihii?
Boy: sasa si ndo uliyonayo?
watakuonaje na ingine?
Girl: aaaah! bby mi najickia
vbayaa..
Boy: ucjickie bebi, kwan vipii?
Girl: marafiki zang wote wana cm
nzuri, wananicheka..
Boy: usishindane naoo, wazazi
wao wana hela! naww soma
mwanetu asije kuchekwa ka
ww...sawa?
Girl: bby stakiiii....
Boy: tufanyeje ss?...........bby
Girl: namm nataka iPhone-5s, au
galaxy-s5
Boy: bby si tumekubaliana
tuvumiliane lkn? umekuaje tangu
ufike chuo?
Girl: hamna.
Boy: mi mwenyew naishi kwa
mkopo, bado cjawaza unakula nn,
iPhone mi natoa wap?
Girl: mi cjui bwana, we
mwanaume..
Boy: Mi mwanaume ndio, ila
usinifanyie ivyo mamy...mwenyew
unajua..
Girl: Poa, bas ntajua ntakoipata
mwenyewe..
Boy: kwaio husomi tena unawaza
i4n sio? we unasoma au unafanya
maonyesho ya simu?
Girl: nasoma..
Boy: sasa hiyo uliyonayo ina shida
gan? muda wa ma2miz ya sim
kwanza unatoa wap?
Girl: bby mi mtoto wa kikee..
Boy: kwaio unatakaje?
Girl: nataka niwafunike wotee..
Boy: poa, kesho tukutane twn bas
nkakununulie turubai...pumbavu[
/QUOTE]
Nimependa sana kidume alivyojibu hapo mwisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom