Mwabukusi: Tunaanzia tulipoishia, hatutanyamaza

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626

Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano na waandishi unaendelea wakati huu tar 5/9/2023 akiwa pamoja na Dr. Slaa, akisema wao watasimamia kwenye sheria na wanachotaka ni IGA kuondolewa.

Mwabukusi amesema wameonewa sababu maandamano ni haki ya kikatiba, akiongeza unapokuwa na cheo usiongozwe na mamlaka bali uongozwe na utu ili uweze kutafsiri ssheria kwa namna inayostahili.

Akisema yeye haogopi mtu yoyote, bali anawaheshimu, na heshima hii ipo pale tu kwa watu wanaofata Katiba na Sheria za nchi. Na kama wamekosa basi waadhibiwe kwa Sheria, na sio kutafuta makosa kuhalalisha kukamatwa kwao.

Pia soma: Mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea muda huu ambapo Dkt. Slaa, Mwabukusi wanazungumza
 
Japo Samia analeta kiburi kwa kuwapa vyeo wasaliti wanaomuunga mkono kwa ujinga uliopo kwenye ule mkataba wa bandari, dawa yake ni kukumbushwa mpaka atambue ujinga wa wachache hauwezi kushinda maarifa ya wengi.

Teuzi zake kuwapa uwaziri na ujaji wasaliti ajue anajidanganya mwenyewe, wengi hatudanganyiki zaidi tunamshangaa tu kwa ujinga wake.
 
Japo Samia analeta kiburi kwa kuwapa vyeo wasaliti wanaomuunga mkono kwa ujinga uliopo kwenye ule mkataba wa bandari, dawa yake ni kukumbushwa mpaka atambue ujinga wa wachache hauwezi kushinda maarifa ya wengi.
Mjinga ni wewe shwain
 
Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano na waandishi unaendelea wakati huu tar 5/9/2023 akiwa pamoja na Dr. Slaa, akisema wao watasimamia kwenye sheria na wanachotaka ni IGA kuondolewa.

Mwabukusi amesema wameonewa sababu maandamano ni haki ya kikatiba, akiongeza unapokuwa na cheo usiongozwe na mamlaka bali uongozwe na utu ili uweze kutafsiri ssheria kwa namna inayostahili.

Akisema yeye haogopi mtu yoyote, bali anawaheshimu, na heshima hii ipo pale tu kwa watu wanaofata Katiba na Sheria za nchi. Na kama wamekosa basi waadhibiwe kwa Sheria, na sio kutafuta makosa kuhalalisha kukamatwa kwao.

Pia soma: Mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea muda huu ambapo Dkt. Slaa, Mwabukusi wanazungumza
Kweli tupu
 
Back
Top Bottom