Mvuta Bangi v Mlevi

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Katika maongezi, mvuta bangi alimuuliza mlevi.....
Mvuta bangi: Ati India iko mbali?"
Mlevi: sidhani, kwasababu tuko na mhindi mmoja kazini, huwa anakuja kwa baiskeli kila siku.
 
Back
Top Bottom