Muungano wa Madaktari wa Kenya, wawakataa Madaktari wa Tanzania

Hii no dalili mbaya sana kwa dr. yoyote atakaye peleka pua yake pale Nai
 
Pigo la 3 kwa Mkuu...na hivi nilimsikia akisema "nimekubare madaktare 500 waende Kenya, na huko watarepwa kwa doraa"
 
Nitashangaa mtu mwenye akili timamu atakayewasikiliza hawa vijana wa ufipa.....ukiangalia vizuri wengi wanaongea hata kitu wasichokifaham....

Ukisoma hata maelezo ya Secretary wa chama cha madaktari Kenya anakubali kuwa watawapokea na kuwasajili kwenye chama chao....sasa nyumbu wao kila kitu negativity tu yaani mawazo ya kimaskini waliyonayo
Ni sawa huyo secretary wa chama anasema hivyo kwamba watasajiliwa baada ya kufuata utaratibu wao. Lakini huyo huyo anakosoa hilo wazo la kuajiri madaktari kutoka nje wakati wapo 1400 ambao hawana kazi huko kenya. Hapo ndipo penye shida. Hata hapa kwetu tunapinga kuajiriwa wageni wakati watz hawana ajira. Na kazi wanayokuja kufanya watz wana uwezo wa kufanya. Huyo secretary anachojaribu kuonesha ni kwamba hakuna uhaba wa madaktari Kenya, wapo ambao hawana ajira na mbaya zaidi hao wanaotoka Tz watalipwa kiasi kile kile ambacho wao walikuwa wanataka walipwe.
Hawa wakwetu waende hata zaidi ya hao 500, lakini mazingira ya kazi yawe salama. Hilo ndilo la muhimu.
 
Hata Kenyatta nimemuona fala sana katika hili, japo Magufuli ni zaidi
Ivi viongozi wa Africa sijui wako vipi??
Kenyatta anataka kuajiri watanzania ilihali kuna wakenya hawana ajira!! Anafanya hivi ili kuwatishia madaktari wa Kenya wasigome kushinikiza madai yao!

Mnadhani watanzania wanaopigwa South Africa hapo Kenya hawatapigwa?

Mtanzania usiende Kenya komaa hapa hapa kwetu, wanasiasa wetu ni hovyo sana
Hueleweki unapinga wasiende kufanya kazi kwa sababu watapigwa au kwa sababu jpm na kenyatta mafala?
 
Ni sawa huyo secretary wa chama anasema hivyo kwamba watasajiliwa baada ya kufuata utaratibu wao. Lakini huyo huyo anakosoa hilo wazo la kuajiri madaktari kutoka nje wakati wapo 1400 ambao hawana kazi huko kenya. Hapo ndipo penye shida. Hata hapa kwetu tunapinga kuajiriwa wageni wakati watz hawana ajira. Na kazi wanayokuja kufanya watz wana uwezo wa kufanya. Huyo secretary anachojaribu kuonesha ni kwamba hakuna uhaba wa madaktari Kenya, wapo ambao hawana ajira na mbaya zaidi hao wanaotoka Tz watalipwa kiasi kile kile ambacho wao walikuwa wanataka walipwe.
Hawa wakwetu waende hata zaidi ya hao 500, lakini mazingira ya kazi yawe salama. Hilo ndilo la muhimu.
Be positive
 
Jk alikataa Ombi la Marekani kuweka base yake ya Kijeshi Tanzania, pia alikataa ushawishi wa kupeleka Majeshi Somalia!

Naombea sana hayo Maombi yasije kwny awamu ya Tano
 
Serikali ya Kenya wanachofanya ni kujitibu maumivu ya kichwa kwa kukikata kichwa!!!je kesho wakigoma walimu wataazima tena walimu?askari nao wakigoma wataazima askari kutoka nje?wakigoma mahakimu,judges etc itakuwa mwendo huo huo?je hao wanaowatoa makazini wataenda kufanya kazi wapi?si ndio mwanzo wa kuwekeana jealous yatokee kama ya South Africa?hili ni tatizo lipo sana hapa Africa waliopewa dhamana kushindwa kutoa majibu kwa maswali magumu badala yake kutafuta shortcut za kijinga!
 
Muungano wa Madaktari Kenya (The Kenya Medical Practitioners and Dentists Union - KMPDU) umepinga hatua ya serikali kuajiri madaktari toka Tanzania.

Wanasema kama Serikali ya Kenya wanahitaji Madaktari, wawaajiri kwanza madaktari 1,400 waliomo Nchini Kenya.

Tanzania imetoa Madaktari 500 kuitikia ombi la rais wa Kenya Uhuru Kenyata.

Hivi karibuni Kenya ilikumbwa na Mgomo mkubwa wa Madaktari wakishinikiza nyongeza ya Mshahara.

========

KMPDU Secretary General Ouma Oluga Criticises Government for Bringing Doctors From Tanzania
By JULIET MUTAHI

Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) Secretary General Ouma Oluga, has issued a new demand after Tanzanian President John Magufuli offered to send 500 doctors to Kenya.

Oluga demanded that the foreign medics must go through several procedures including undergoing an examination before they start working in the country.

The Secretary General criticised the government for seeking outside help yet there were many unemployed medical practitioners in Kenya.

He wondered why the government had to source for doctors from Tanzania yet it would pay the same money the local medics had been demanding for.

"Kenya has about 1,400 doctors awaiting employment. It would be very costly and therefore a show of imprudent public finance management to have 500 Tanzania doctors at Sh20,000 per day," he said.

At the same time, Dr Oluga accused the government of failure to retain doctor's in hospitals due to lack of proper working conditions.

He, however, assured that KMPDU would welcome the foreign practitioners and register them into the Union.

Earlier in the day, Magufuli had agreed to offer the 500 medics to help mitigate the effects of the recently called off strike following a request by President Uhuru Kenyatta.

He stated that there were many qualified and unemployed doctors who were ready to offer their services in Kenya.
Government Issued New Demand After Magufuli Gives Kenya 500 Doctors
Nilijua tu ila kusema la ukweli kiroho safi inahitaji moyo wa chuma kwenda fanya kazi mazingira kama yale ni shida
 
JPM anatafuta sifa kwa Uhuru. Tanzania pia ina upungufu mkubwa sana wa madaktari. Serikali imegoma kuwapa ajira halafu jpm bila aibu anataka kuwatuma vijana wetu wakashambuliwe na MUNGIKI. Hili halikubaliki.
 
Ni hatar sana Dr 500 utawalnda vip, hao ni raia sio wanajeshi,
Harufu ya damu
 
Muungano wa Madaktari Kenya (The Kenya Medical Practitioners and Dentists Union - KMPDU) umepinga hatua ya serikali kuajiri madaktari toka Tanzania.

Wanasema kama Serikali ya Kenya wanahitaji Madaktari, wawaajiri kwanza madaktari 1,400 waliomo Nchini Kenya.

Tanzania imetoa Madaktari 500 kuitikia ombi la rais wa Kenya Uhuru Kenyata.

Hivi karibuni Kenya ilikumbwa na Mgomo mkubwa wa Madaktari wakishinikiza nyongeza ya Mshahara.

========

KMPDU Secretary General Ouma Oluga Criticises Government for Bringing Doctors From Tanzania
By JULIET MUTAHI

Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) Secretary General Ouma Oluga, has issued a new demand after Tanzanian President John Magufuli offered to send 500 doctors to Kenya.

Oluga demanded that the foreign medics must go through several procedures including undergoing an examination before they start working in the country.

The Secretary General criticised the government for seeking outside help yet there were many unemployed medical practitioners in Kenya.

He wondered why the government had to source for doctors from Tanzania yet it would pay the same money the local medics had been demanding for.

"Kenya has about 1,400 doctors awaiting employment. It would be very costly and therefore a show of imprudent public finance management to have 500 Tanzania doctors at Sh20,000 per day," he said.

At the same time, Dr Oluga accused the government of failure to retain doctor's in hospitals due to lack of proper working conditions.

He, however, assured that KMPDU would welcome the foreign practitioners and register them into the Union.

Earlier in the day, Magufuli had agreed to offer the 500 medics to help mitigate the effects of the recently called off strike following a request by President Uhuru Kenyatta.

He stated that there were many qualified and unemployed doctors who were ready to offer their services in Kenya.
Government Issued New Demand After Magufuli Gives Kenya 500 Doctors
Wasisahau tu mikasi tunboni mwa wakenya maana wakenya sio wa sport sport
 
Hivi wewe una uhakika kwamba tuna uwezo wa Tanzania kutoa msaada wa madaktari Kenya?

Hivi unajua Kenya wametupita kiasi gani?

Hivi unajua Kenya ina wasomi kiasi gani?
Sijabwabwaja ! I have spoke with facts ! I can't let myself down to your level of understanding, to let you understand . Anyways for your help, try to argue using facts .
[HASHTAG]#usibwabwaje[/HASHTAG].
 
Ni sawa huyo secretary wa chama anasema hivyo kwamba watasajiliwa baada ya kufuata utaratibu wao. Lakini huyo huyo anakosoa hilo wazo la kuajiri madaktari kutoka nje wakati wapo 1400 ambao hawana kazi huko kenya. Hapo ndipo penye shida. Hata hapa kwetu tunapinga kuajiriwa wageni wakati watz hawana ajira. Na kazi wanayokuja kufanya watz wana uwezo wa kufanya. Huyo secretary anachojaribu kuonesha ni kwamba hakuna uhaba wa madaktari Kenya, wapo ambao hawana ajira na mbaya zaidi hao wanaotoka Tz watalipwa kiasi kile kile ambacho wao walikuwa wanataka walipwe.
Hawa wakwetu waende hata zaidi ya hao 500, lakini mazingira ya kazi yawe salama. Hilo ndilo la muhimu.
Kuwa na wasomi wasioajiriwa kwa kada muhimu kama hizo si kwamba uhitaji haupo, tatizo wage bill ni unattainable , hivyo serikali hazina uwezo wa kuajiri !
Hivyo, wanapinga malipo hayo madogo wanaweza kutoa nafasi kwa hawa unemployed 1400 plus watz 500, wasouth & Ugandanians then huduma zikaendelea.
 
Back
Top Bottom