Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,929
Hapana walikuwa wanauza kila kitu na pesa kwenda kumkabidhi yeye na kuingia kwenye mfungo wa kifoAliona wateja wake wamechoka sadaka hawatoi Bora awawaishe tu kwa mola wao

ili tuuane vzr sio ?Ukristo ufutwe tu ibaki dini moja ya haki Uislamu tu
hahahaaaaHawezi kuchomoka.
Kuna lile kosa la wizi wa kuaminiwa na Hili ni Kuua kwa Kuaminiwa.
Ila ujue kila dini ina makandokando yakeUkristo ufutwe tu ibaki dini moja ya haki Uislamu tu
Yees mkuu. Umenistua kabisa na tungekuwa tunafikiri hata kidogo saa hizi MADALALI wa Dini za kuletewa. Wangekuwa wanahaha kujua watafanya nini. Inawezekana tuletewataarifa sahihi kwamba Mungu Yupo. Ila mengine yote na hayo maibada na mbwembwe zote ni tricks za upigaji.huo ndo ukwel mkuu , poor reason kwa waafrika
kabisa hiz iman zimekaa kimchongo sana , wengi wetu washakuwa mateka na kuwaokoa inahitaj utuliv na muda ili waelewe wakiwa wanaona , vijana wetu wanakufa wakipigania dini za wageni huku tamaduni zetu tukiziita uchawiYees mkuu. Umenistua kabisa na tungekuwa tunafikiri hata kidogo saa hizi MADALALI wa Dini za kuletewa. Wangekuwa wanahaha kujua watafanya nini. Inawezekana tuletewataarifa sahihi kwamba Mungu Yupo. Ila mengine yote na hayo maibada na mbwembwe zote ni tricks za upigaji.
Umekuwa chama cha siasa ?Ukristo ufutwe tu ibaki dini moja ya haki Uislamu tu
Anza wewe kuufuta, kwahiyo Boko Haram,kubaka wanafunzi ndiyo uislam? Yule Afande shemale ndiyo kioo cha uislam? Hao waganga wa kienyeji mjini dar wanaojiita masheikh ndiyo uwakilishi wa uislam?Ukristo ufutwe tu ibaki dini moja ya haki Uislamu tu
Father of AllView attachment 2598986
Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani.
Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria:
Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi mtu kufanya kitu anachoamini binafsi kina tija. Dini zote zinaendeshwa kwa ushawishi. Ndiyo maana zimeruhusiwa kufanya uhuni wote bila kufungiwa, kuchunguzwa wala kushitakiwa. Wahusika waliamua kwa hiari yao wakiwa na akili timamu kufunga hadi kufa wakiamini walichoambiwa yaani pepo au kukutana na Bwana.
Pili, Hakuna namna waendesha mashtaka watathibitisha mashtaka yao bila wahanga kuwapo ili watoe ushahidi. Kama Mackenzie hakuwapa sumu au kuwaua kwa kuwanyonga au kwa namna nyingine zaidi ya kuwaaminisha, hana hatia hata kidogo. Rejea wanaoahidi kutenda miujiza ya kuondoa watu kwenye umaskini na kuishia kuwaibia na kuwafanya maskini na watumwa zaidi. Hata wahanga wakifufuliwa, hawawezi kuthibitisha kuwa walilazimishwa kufunga wakijua walichokuwa wakifanya na matokeo yake.
Tatu, sheria za kiingereza zinamtaka anayedai kuthibitisha madai yake. Si rahisi washitaki kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwarubuni zaidi ya kuwahubiri nao kwa hiari yao , wakiwa watu wazima wakaamini na kutekeleza.
Nne hata akifunguliwa kwa makosa ya kuua watoto, hawampati kwa vile halikuwa jukumu lake kisheria kuangalia wale watoto zaidi ya wazazi wao. Rejea mnavyobatiza au kuingiza watoto wadogo kwenye dini zenu.
Mwisho, kwa vile dini zote zinatumia mfumo ule ule, kumpata Mackenzie na hatia, ima bunge litunge sheria mpya ambayo nayo itagonga mwamba kwa vile itakuwa illegal tokana kuwa retrospective au wafute dini kwanza ndipo mhusika ashikiwe.
Hata hivyo, itakuwa vigumu kumfunga vinginevyo wamuonee. Akipatikana na hatia si ya mauji bali uzembe au kuficha vifo na vitu kama hivyo ambavyo navyo kisheria, kama atapata wanasheria mahiri anaweza kushida.
Akifungwa, basi iwe ni kama kwenye kesi ya Mwamwindi baada ya kumuua Dk Kleruu.
Somo kubwa hapa ni kwamba tunaendeshwa na mifumo mibovu ya dhuluma
Mimi nitakunyonga kwa vile najua fika kuwa ulijua unawadanganya maana hukuwasiliana na yesu kuwa walete wafunge wafe and then waje kwangu. Utupe ushahidi kuwa uliwasiliana na yesu akasema walete , wafunge mwisho waje kwangu. Ulitumia udanganyifu ukijua fika kuwa kutokula mwisho wake ni kufa. Nitakufunga/nitakunyonga.View attachment 2598986
Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani.
Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria:
Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi mtu kufanya kitu anachoamini binafsi kina tija. Dini zote zinaendeshwa kwa ushawishi. Ndiyo maana zimeruhusiwa kufanya uhuni wote bila kufungiwa, kuchunguzwa wala kushitakiwa. Wahusika waliamua kwa hiari yao wakiwa na akili timamu kufunga hadi kufa wakiamini walichoambiwa yaani pepo au kukutana na Bwana.
Pili, Hakuna namna waendesha mashtaka watathibitisha mashtaka yao bila wahanga kuwapo ili watoe ushahidi. Kama Mackenzie hakuwapa sumu au kuwaua kwa kuwanyonga au kwa namna nyingine zaidi ya kuwaaminisha, hana hatia hata kidogo. Rejea wanaoahidi kutenda miujiza ya kuondoa watu kwenye umaskini na kuishia kuwaibia na kuwafanya maskini na watumwa zaidi. Hata wahanga wakifufuliwa, hawawezi kuthibitisha kuwa walilazimishwa kufunga wakijua walichokuwa wakifanya na matokeo yake.
Tatu, sheria za kiingereza zinamtaka anayedai kuthibitisha madai yake. Si rahisi washitaki kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwarubuni zaidi ya kuwahubiri nao kwa hiari yao , wakiwa watu wazima wakaamini na kutekeleza.
Nne hata akifunguliwa kwa makosa ya kuua watoto, hawampati kwa vile halikuwa jukumu lake kisheria kuangalia wale watoto zaidi ya wazazi wao. Rejea mnavyobatiza au kuingiza watoto wadogo kwenye dini zenu.
Mwisho, kwa vile dini zote zinatumia mfumo ule ule, kumpata Mackenzie na hatia, ima bunge litunge sheria mpya ambayo nayo itagonga mwamba kwa vile itakuwa illegal tokana kuwa retrospective au wafute dini kwanza ndipo mhusika ashikiwe.
Hata hivyo, itakuwa vigumu kumfunga vinginevyo wamuonee. Akipatikana na hatia si ya mauji bali uzembe au kuficha vifo na vitu kama hivyo ambavyo navyo kisheria, kama atapata wanasheria mahiri anaweza kushida.
Akifungwa, basi iwe ni kama kwenye kesi ya Mwamwindi baada ya kumuua Dk Kleruu.
Somo kubwa hapa ni kwamba tunaendeshwa na mifumo mibovu ya dhuluma
wahanga wapo wewe acha kuporojoka, unadhani wamekufa wote? Kuna kigezo cha ugaidi kesha zungushiwa, kutumia dini kushawishi wengine kuua au kujiuaView attachment 2598986

Ufungwi kibwete uganda mbona yuko huru mwamposa yuko huruKufungwa atafungwa . Japo itachukua muda
Mahaka itafunga wachungaji wangapiHuyo mchungaji atafungwa kwa sababu mbili.
1. Kuna waumini Kama kumi wamepona kwenye sakata hilo watatumika kutoa ushahidi.
2. Amewahi kuwa na kesi Kama hiyo huko nyuma ya mauaji ya watoto wawili wa waumini wake kwenye scenario Kama hiyo sema polisi waliwawahi na kumkamata na hiyo kesi bado ipo mahakamani.