'MUUAJI' wa DARUSO awa Mkuu wa Wilaya...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni nambari 40 kwenye orodha ya Wakuu wa Wilaya wapya. Si mwingine ni Festo Kiswaga-Nanyumbu. Alikuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi(UDSM) mwaka 2010. Ndiye muuaji na mzishi wa DARUSO. Sasa Rev. Square imekuwa Level Square.

Hakuna mapambano ya kimapinduzi. Kiswaga alishamakiza kilakitu. Sasa amepewa zawadi ya ushindi...
 
Nasikitika sana kuona jinsi chuo changu kinavyozidi kufa. Pale Level Square nilipita last week nikakuta nyasi zimeota kama Nyikani wakati enzi zetu pale ilikuwa ni vumbi kwenda mbele.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.
 
Sisiem watachana lini na vilaza, Just imagine mtu kama huyu ana maadui zaidi ya 15000 wasomi wa level ya Degree then anakuwa mkuu wa wilaya unasubiri nini kama si kifo cha CCM?

Note: Kawaacha Ndugu zake kadhaa ndiyo wale juzi walioandamana kwenye kwa Nape.
 
Namjua tokea anasoma o level Malangali, alikuwa kilaza ajabu,cjui ni ln alibadilika na kuwa smart ndo yale yaleeeeee!
 
Ilipataje kura za urais kama mlikuwa hamuipendi?
Yawezekana alibadilika baada ya kupata uongozi.Kwani we mgeni na wanasiasa? Kiufupi,Kiswaga nimjuaye hana uwezo wa uongozi.Wakati wa uongozi wake,aliyekuwa anambeba ni Waziri Mkuu wake,Enos Edwin.Niliwahi kuhudhuria naye Mkutano wa Senate ya Chuo pale UDSM nikiwa kama Senator.Nilijuta kuwepo alipo.Hana points,hana confidence,hana kikristu,hana lolote.Huu ni ukweli niujuao.Hakuwawakilisha vyema wanafunzi wake kiukweli...
 
Ilipataje kura za urais kama mlikuwa hamuipendi?

Inawezekana alitumia mbinu za kiCCM kama kawaida. Likely mbinu hizo ni nzito sana na ni rahisi kushinda uchaguzi wa ndani ya chuo. (Mob Psychology) Ukiweza kujieleza vizuri kidogo una nafasi ya kupata ushindi kutoka kwa wanachuo, hiyo haimaanishi kuwa una uwezo wa kutekeleza unayoahidi!!!
 
Ni nambari 40 kwenye orodha ya Wakuu wa Wilaya wapya. Si mwingine ni Festo Kiswaga-Nanyumbu. Alikuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi(UDSM) mwaka 2010. Ndiye muuaji na mzishi wa DARUSO. Sasa Rev. Square imekuwa Level Square.

Hakuna mapambano ya kimapinduzi. Kiswaga alishamakiza kilakitu. Sasa amepewa zawadi ya ushindi...

kumbe ukuu wa wilaya dili?
 
ni kweli alilazimisha kuwa kiongozi na mama Qoro ambaye alikuwa na mshauri wa wanafunzi walifanya hila kwa sababu mumewe Patrick qoro alikuwa TAnapa ni yule alyeshindwa kwa Dr. slaa Ubunge -karatu 1995. Na mpango wao tulioujua, alipata kura 198 kati ya wanfunzi 12,000. lakini Mukandara alibariki inasikitisha sana..:A S cry:vilaza, maana hawajui waendekao,,Na rafiki yake Kipara ambaye siku hizi nasikia FREEMASONS alipewa wizara isiyokuwepo kwenye katiba ya Daruso na uongozi wa chuo walikuwa wanalijua walifumbia macho hadi pale mwezi wa 1 2011 eti:?!!!!!!!1 wakajidai ni kweli tulikosea baaada ya kukosana wao kwa o wao duuuuuuuuuu!!!!!!!!!1, kipofu hawezi kuongoza kipofu mwenzie. ni serikali ya VILAZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Daah nakumbuka enzi zetu walikwepo wakina odong odwar,owawa stephen,machibya,david silinde,joshua nasari,taiwo, nyamhang,steven aloyce,kasera peter,rashid mohamed.nasikitika muliondoka na rev.square makamanda wakabaki mafala kama salum aly,festo kiswaga..itz too sad.
 
Nasikitika sana kuona jinsi chuo changu kinavyozidi kufa. Pale Level Square nilipita last week nikakuta nyasi zimeota kama Nyikani wakati enzi zetu pale ilikuwa ni vumbi kwenda mbele.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.

Hivi DURUSO haipo tena?
 
Teuzi hizi bila vetting ya uhakika kama wanavyofanya wenzetu Kenya sasa zitaendelea kutuibulia watu wa kila aina.
 
Back
Top Bottom