"..Muuaji Mkubwa.."

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Mwanamuziki mmoja maarufu kutoka America alikuja nchini kufanya shoo kwa ajili ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kupambana na Malaria barani Afrika.

Wakati anamaliza ku'perform moja ya nyimbo yake inayopendwa sana, watazamaji wakampigia makofi ya nguvu, yeye naye kwa upole na huzuni akawa anapiga makofi taratibu huku akisema,

"...kadri ninavyopiga haya makofi, na mtoto mmoja Afrika anakufa kwa ugonjwa wa Malaria.."

Ghafla sauti ya ghadhabu ikasikika kutoka kwa mashabiki.

"....Sasa unaendelea nini kupiga makofi!! Acha mara moja muuaji mkubwa wee!!!..."
 
1447368838591.jpg
 
Back
Top Bottom