Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Siku nikiona Kikwete yuko ndani ya gari mtumba sawa niwakubalie waruhusu. Lakini hivi kapanda BMW mpya alafu sie tupande used? I seeeeeeeee????
Ni vifaa gani ambavyo wamevitaja ambavyo vinaweza kununuliwa ambavyo vimetumika?.
Watanzania mnalo maana sasa hivi waingereza wamekaza uzi kwetu chagua moja kuwa shoga au nunua vitu chakavu ccm mnalo hapo mtanasa kotekote maana china wanatudai uingereza wanataka tuwe mashoga wao watuoe kipi boraAngalizo kuhusu mgongano wa kimslahi kama ulishanunua au kutumia vitu used anza kwa declaration.
Mie natumia gari la mtumba nadhani nimepoteza sifa ya kuchangia lakini vyama na wabunge pia wamebobea katika mitumba sasa kukataza serikali huku mnanunua itakuwa unafiki.
Hatuna viwanda vya mitambo na magari kung'ang'ania upya na uwezo mdogo ni kujiua na tai zenu shingoni
Angalizo kuhusu mgongano wa kimslahi kama ulishanunua au kutumia vitu used anza kwa declaration.
Mie natumia gari la mtumba nadhani nimepoteza sifa ya kuchangia lakini vyama na wabunge pia wamebobea katika mitumba sasa kukataza serikali huku mnanunua itakuwa unafiki.
Hatuna viwanda vya mitambo na magari kung'ang'ania upya na uwezo mdogo ni kujiua na tai zenu shingoni
Huu ujinga si wako tu, bali hata wabunge walio changia wa magamba walikuwa wanaunga mkono hoja ya mswada huu wakisema wamenunua magari ya mtumba. Sasa nikulize wewe na hao wapumbavu wengine gari ni lako au ni la watanzania wote. Viongozi wa ccm na serikali yao ni janga la kitaifa bila kuondoka hamna maendeleo nchi hii.
walivotaja ni ndege-meli na vichwa vya treni.
ndege meli na mabehewa ya treni pamoja na injiniNi vifaa gani ambavyo wamevitaja ambavyo vinaweza kununuliwa ambavyo vimetumika?.
naungana na wewe ila kitu kimoja ondoa usemi huu kusema kuibia serikali ,sema watatuibia ....watu wengi (sio wewe) huwa hawaelewi pesa inayoumika ni kodi tunazolipa direct au indirect kama kununua soda sukari chumvi majani chai nkKatika muswaada wa manunuzi ya umma serikali imependekeza kununuliwa vitu vilivyo tumika, serikali imetaja maeneo ya kununua vitu chakavu kuwa ni meli, ndege, vichwa vya treni na mabehewa yake. Cha kujiuliza katika kipindi hiki serikali inapo jipanga kufufua shirika la ndege na reli kwa nini izungumzie kununua ndege au vichwa vya treni vilivyo tumika, je sio kuwa viongozi wetu ambao wengi ni mafisadi wanatengeneza mazingira ya kuibia serikali kitapeli kwa kupitia kupitisha mswaada huu wa manunuzi?
Tukumbuke pia wakati wa kampeni rais alitoa ahadi za kununua meli sehemu mbalimbali sasa isije kuwa wajanja walio serikalini wanataka kutumia mwanya huu wakishirikiana na mafisadi wenzao wafanyabiashara kuibia serikali? Kubwa zaidi kutokana na mapendekezo ya mswada, ufisadi huu wa manunuzi utalihusisha baraza la mawaziri katika kutoa kibali cha manununuzi ya vyombo hivi vilivyo tumika. Wana jf hebu jaribuni kutoa maoni yenu katika hili.
naungana na wewe ila kitu kimoja ondoa usemi huu kusema kuibia serikali ,sema watatuibia ....watu wengi (sio wewe) huwa hawaelewi pesa inayoumika ni kodi tunazolipa direct au indirect kama kununua soda sukari chumvi majani chai nk
Ndugu yangu we acha tu tena ukiwa kwenye field ya ugavi na ununuzi ndio utalia kabisa sababu kinachofanyika ni kuandaa shavu zaidi kwa wanasiasa na influence zao kupitia kwa "ACCOUNTING OFFICER (CEO)"
Kwamba kuwaongezea mamlaka zaidi, umezungumzia best practice tu ila hata "benchmarking" hamna hapo mkuu,
Pia kuna kitu kinaitwa GPSA, ambapo kwenye mkutano wa mwisho wa PMU Managers wa idara za umma ambao uliandaliwa na PPRA pale AICC Arusha mwaka jana walipinga uwepo wa hyo taasisi kwa uanzishwaji wake ulikuwa wa kukurupuka ambapo haikushirikisha wadau wa manunuzi.
Matokeo yake kwenye huu muswada hyo GPSA ndio inasimikwa utukufu, kitu ambacho ni kuongeza ukiritimba katika idara ya manunuzi na kuficha taalumu za wataalamu wa manispaa na halmashauri zetu.
Muswada umeandaliwa kwa matakwa binafsi na ya muda mfupi kwa wanasiasa ila haujazitangatia kwa mapana mahitaji ya "ugavi na ununuzi" kama taaluma mahsusi yenye kuokoa pesa za umma na thamani ya pesa hizo.