Mustapha Sabodo Atoa Rambirambi Kwa Wahanga Wa Chadema

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Mustapha Sabodo mfanya biashara mwenye asili ya kiasia ametoa msaada wa kiasi cha Sh 5milioni kwa familia ya Ismail na kiasi hichohicho kwa familia ya Denis na mazishi ya Denis Rombo ndio yanaanza leo! hii yote ni kutokana na vifo visivyo na hatia vilivyotokea mkoani Arusha siku ya maandamano ya wanachadema! Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina.:pray2:
 
Shukrani Sabodo angalau zako zinarudi kwa wananchi za Rostam huwa anazipeleka Iran.
 
Wasiwasi wangu mkwere alivyo na visasi anaweza kudai jamaa si raia wa TZ ila ni M-tamil wa Sri Lanka.Kumbuka Ulimwengu nk.
 
wakati wengine wakitoa rambirambi kwa wafia ccm mkoa wa arusha jana walikuwa kwenye sherehe za kumpongeza meya,,,kweli hiki chama kinarudi nyuma,shame on thewm
 
Tunataka wananchi wenye moyo wakujitolea kama Sabodo na CCM wakae wakijua kua upinzani sio uadui bali ni demokrasia ya ukweli kwa wananchi wenye kutaka mabadiliko ndani ya nnchi yao! Tutazidi kukuombea Mustapha Sabodo Mola akuzidishie :pray:
 
Back
Top Bottom